The Boss
JF-Expert Member
- Aug 18, 2009
- 49,320
- 117,675
Ishu hapa siyo nani msafi na nani mchafu kwa kutumia majina mengi. Ishu ni kwa nini uwe na majina ya jinsia mbili halafu uwe unaanzisha mada na kujijibu wewe mwenyewe?
Hiyo ni tofauti sana na kuwa na at least consistency ya majina ya jinsia moja na kutoyatumia hayo majina kuanzisha mada na kujijibu wewe mwenyewe.
Wengine wana majina mengi kwa sababu ya kufungiwa fungiwa mara kwa mara na huwa hata hawajifichi kihivyo na hizo IDs zao zingine.
Kwa mfano mtu ukiwa na chembe hata ya akili utajua kabisa kuwa Bwa'Nchuchu ni nani.....
Msalimie Bwan'chuchu lol