Marry Hunbig's bust

Marry Hunbig's bust

Kuna wengine wanasemaga kunyali ni kuogopa ila kwa sie tulivyozoea ni kama kumpinga mtu kunakoambatana na dharau (ndo nilichomaaanisha kwenye post yangu though sijui kwenye kamusi). BTW, Asante my dear . . . . . it is what it is!

ooh sasa nimeelewa. Kuna mdada alitumia hili neno but she was crying, so nikashindwa kuuliza. Nashukuru.

lol. Kujificha kipaji. Mie kwanza ntasahau, quote la jina hili atajibu yule.:target:
He he he he, never been holy before, why now?

Mmmh, uzuri mie sijifichi nikija kivingine
Haitakuwa breking nyuzi
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom