Married ex

PRECIOUSDOE

Senior Member
Feb 3, 2009
114
12
Recently rafiki yangu amepigwa transfer akaenda town kwenye her first bf of 3yrs lives.
She is single, he is married with one kid.Huyu rafiki yangu anampenda huyu bwana and
infact husema this was her best boyfriend he was very romantic and loving.
Hawaja onana kimwili since at that time which was many
years ago walikua shule tena waokovu.Ananieleza kuwamba sexual chemistry ama tension
iko very high between them.Huyu rafiki yangu alikuwa amepanga kuavoid contact but its a
small town imebidi wakutane.The guy really wants her,amemnunulia vitu na kumsaidia sana
tena anamwonyesha mapenzi na uzuri.pls advice vile anaweza avoid kutumbukia kwenye
majaribu haya.The lady anamtamani huyu bwana bcoz they only kissed and she missed
his sexual love.
 
Hapa ipo kazi rafiki yako sidhani kama anataka ushauri best ..hapo kinachofatia wataanza tu kubanjuana wakati mwenzie ni mme wa mtu tayari
Mwambie aangalie future yake na si tamaa za kimwili.ayashinde majaribu
 
Ashindwe na alegee, muda wake ulishapita, aachane na historia. Kwani katika miaka yote hiyo mitatu yeye ajamegwa? Apime kwanza ukimwi asije akaharibu future ya wenzake. Anatamaa sana, hamna cha chemistry wala mathematics. Aendelee na maisha yake, kama ishu ni mji wanaoishi si ana kwake kwanini ajilengeshe lengeshe.

Ashindwe, tena nakemea huyo pepo aliyenaye! Tokaaaah!
 
Hata kama anampenda kiasi gani,hana nafasi naye tena kwa kuwa tayari ni mume wa mtu.Mwambie aachane naye na amuepuke kabisa ili kujiepusha na majaribu.Sometimes we have to let go of the pple we love kwa sababu nyingi,na hii ni mojawapo.
 
Dah Majaribu makubwa hayo!! kama ni waokovu wamwombe mungu atawasaidia kuepukana na majaribu!!!!!!!
 
Waokovu.....yet wanataka kuzini? very ineteresting. Au walishaacha wokovu? ikiwa wameacha au bado ni waokovu, watangaze kuacha wokovu bibie akubali kuwa wa pembeni-nyumba ndogo....sory kubwa ya nje ya ndoa.
 
Ukipokea vitu kama zawadi lazima ulipe, Hapa hakuna kitu cha bure, aachane na vishawishi,akae mbali na huyo jamaa ili kuepuka ili awe huru. Uokovu uendana na usafi wa Tabia na matendo.
 
Come on guyz...mbona hapa wengi wenu mnapenda kuongea UONGE MTUPU...BIG LIESSS...wewe unawezaje kuzuia hisia za mapenzi za mtu amabaye unajua fika uwepowake karibu yako ni furaha tosha moyoni mwako??...UKWELI NI HUU...kuoa au kuolewa hakuondoi hisia za mapenzi ya dhati kwa tuliowahi au tunaweza kukutana nao kama wapenzi...

tahadhari ..NI VIZURI KUHESHIMU MAUSIANO AMBAYO UMEYAKUTA WATU WAKIENDELEA NAYO KWA KUWA MWANGALIVU ILI USIYAHARIBU AU HATA KUVUNJA NDOA YAO....jitahidi kuwa mwizi mtaalamu...unakula na kipofu...ukamshika mkono tuu... ujue msosi ndio ushaharibika na hauliki....

FRANKLY SPEAKING ..MIE X-GF kama tulikuwa na chemistry ya ukweli huwa sijali she is or am married...NA-DO IT AGAIN .... na akitokea binti akaiteka roho yangu INSHALLAH kitu nimepewa bure kwanini nimnyime mwenzangu mwenye shida nacho...nammega sema mama watoto asijue...AKAJUA TUUU...my stake IPO KWA MAMA WATOTO ...she comes first n i'll do whatever it takes to save my marriage....

si unajua mambo ya kina T.WOODS NA B.CLINTON...mama zetu waelewa apology hupokelewa.....HUO NDIO UKWELI HALISI HATA KAMA NI MGUMU KUELEZWA HADHARANI
 
imebidi tu nicheke. lo people have decided to tell it like it is.
...lakini hawa baadhi ya wadada ambao hawajaolewa lini wataacha waume zetu tuishi nao kwa amani? kwa nini wasitafute wa kwao?
 
imebidi tu nicheke. lo people have decided to tell it like it is.
...lakini hawa baadhi ya wadada ambao hawajaolewa lini wataacha waume zetu tuishi nao kwa amani? kwa nini wasitafute wa kwao?

Mi naona swali lako lingekuwa hivi....lakini hawa waume zetu wataacha lini baadhi ya wadada ambao hawajaolewa tuishi kwa amani?kwa nini wasitulie na sisi?
Coz it takes two to tangle.

mi naona swali lako lingekuwa hivi....lakini hawa waume zetu wataacha lini baadhi ya wadada ambao hawajaolewa tuishi kwa amani?kwa nini wasitulie na sisi?
coz it takes two to tangle.

hapana swali langu liko vilevile nilivyoliweka, si lazima liwe kama uonavyo wewe, japo unaruhusiwa na wewe kuuliza hivyo uonavyo wewe.
 
Acheni tu wamegane kwani kuna tatizo gani hapo, la muhimu ni kuhakikisha kuwa ndoa ya huyo jamaa inalindwa isijue (mke). Tuwe wawazi haya mambo yapo na kama hisia zimekuzidia CHAPA ILALE
 
imebidi tu nicheke. lo people have decided to tell it like it is.
...lakini hawa baadhi ya wadada ambao hawajaolewa lini wataacha waume zetu tuishi nao kwa amani? kwa nini wasitafute wa kwao?

asilimia kubwa ni hao wanaume zetu wanawafata hao warembo, achia mbali hao wachache wanaojilengesha....ndio mana mie nikifuma na deal na mhucka wangu...yeye ndio chanzo!
 
Hio code swtching na code mixing mleta mada uliyodondosha kwenye bandiko kweli imesimama.
 
imebidi tu nicheke. lo people have decided to tell it like it is.
...lakini hawa baadhi ya wadada ambao hawajaolewa lini wataacha waume zetu tuishi nao kwa amani? kwa nini wasitafute wa kwao?

Madam pls respect single people,if every woman was married ungekuwa bibi mkubwa kwako.Hakuna mtu anahaja na waume wa wenzao.Wot happened is that huyu alikuwa first boyfriend.Tena walipendana kwa dhati kwa miaka tatu.Huyu dada alijaribu kuavoid the guy kwa kujuwa yeye ni mume wa mtu but the guy alimtafuta juu chini mpaka akampata.This lady is human,wewe huna hisia zozote kwenye first love wako? Nyinyi ni hypocrates ! Huyu dada kama alikuwa na nia mbovu hata hangekuwa frank na kutafuta mawaidha.Angeendelea kisiri vile wengi huwa wanafanya
so pls constructive advice only.wacha madharau na matusi!
 
Unapoomba ushauri tegemea vyote ; utakaoufurahia na utakaokuudhi! Hakuna haja ya maneno makali! Isitoshe usimteteee saana huyo rafiki yako kwani wakati mwingine pia watu hutafuta ushauri as a reaction of GUILTY!

Kama yuko frank as you admit hapa asingekubali hivyo vijizawadi bana! Frank.........my foot! ashamegwa huyo!
 
Ningekuwa mie nigemfunulia,kwani ni chaki hio useme itaisha???so long as mkewe hajui sioni any harm :glasses-nerdy:
 
Back
Top Bottom