Najua kuwa ninachokikusudia sio kizuri. Ila kila nikikumbuka mabaya aliyonifanyia huwa nabaki kujifungia na kulia sana amenitendea mengi mabaya.Hujui tu kuwa hata hii ndoa nilijisacrifice namna gani...
Lets love lead,try kusoma 1Wakoritho 13.Mwenye upendo hana kisasi,hana hasira,hana wivu,hana roho mbaya, hana ukatili.Kama kweli unampenda husitende baya juu yake lipa jema kwa baya hakika atakuja kutubu yye mwenyewe.
Furaha yangu ilishapoteaga zamani.
Natamani kuachana na kisasi lakini nashindwa maana nikikumbuka tu roho ya kisasi inarudi palepale
sio kosa langu yeye ndo alisababisha yote
nimeshindwa kabisa kujizuia.
Kwa hiyo uliolewa naye ili ufanye kisasi?
Kama una Roho hiyo Endelea lakini utakuja kujuta tu. Period
Kwakuwa Roho yako ni ya kisasi Fanya tu nahisi Huamini MUNGU wewe. Kumbuka Roho itendayo dhambi ndiyo itakayo kufa. Sidhani kama ungekaa naye na kuongea naye kwa nia njema ungeshindwa. Wala sidhani kama ungemuomba Mungu ungekuwa na Roho ya uovu kiasi hicho. All the best
nilijishusha kwasababu nyingi,kwanza nilimpenda sana pili nijiondolee aibu alizonisababishia na tatu nilipize either kwa kumsababishia aibu na kumuonjesha ladha ya maumivu ya mapenzi
Sikuzaliwa hivi mimi,Dunia imenifundisha
Unataka uzae nje ya ndoa?Wala sitokei machame.Na sifikirii kuua hata kidogo but I want to do something
wala sio wachonganishi,siku moja one of my friends alimuweka kwenye loud speaker nikamsikiliza bila yeye kujua.acha ndugu yangu aliropoka maneno sikuamini
Sikuzaliwa hivi mimi,Dunia imenifundisha