1. kuna siku zingine nakuwa nimechoka akili, mwili na nafsi afu anataka mechi! fake orgasm amalize nilale anafurahi kwakweli, mi nawaza kulala tu
2. kuna siku zingine sijisikii kwenda ukweni japokuwa hawajawahi kunitendea ubaya wowote anahisi siwapendi ila napenda kukaa tu mwenyewe (me time)
3. i think boobs are awesome...no...am not a lez ila Mungu kaumba bwana
4. kuna wakati nilihisi simpendi mme wangu ila nikagundua nampenda sana
5. ila ndoa ina kazi, embu fikiria having sex na mtu mmoja tu maisha yako yote, yooooote!
6. natamani ningekuwa na mahusiano mengi kidogo kabla sijaolewa labda nisingekuwa na akili chafu kama hii (hihihi)
7. i have a dirty mind... nilijaribu kumwambia kuwa nimeboreka try something new in the bedroom ati he want to treat me like a queen...ah sikatai but i be a lady in the street and a freak in the...nigga sez no! ngachoka...
8. naipenda familia yangu sanaaa, ila sometimes nachoka kuwa mtafutaji/mama/mke/majukumu najua naonekana kama sina shukrani ila nahitaji kupumua, recharge ili akili yangu ikae sawa, mambo yaende, natamani niende kokote mbali na mji hata nusu siku nile, nilale....exhale...mwenyewe
9. sometimes natamani a cheat and watch... afu kuna kadem kanamnyemelea...
10. sina tatizo kuvaa majukumu yake akiwa anaseti mitambo yake, najawa na furaha kuona kila kitu kinaenda sawa nyumbani japokuwa inamkwaza kama mwanaume, nampa moyo all will be well, na sina tatizo kutimizia hayo, nikifikiria alivojinyma kwa ajili ya familia, ni theluthi tu, ila loh cha moto nakiona kumbe ni stressful hivi? nawauliza nyie wanaume, hii ndio sababu inawafanya mkae bar mnywe mlewe mrudi mlale? au uwe na mchepuko wa kupunguza msongo wa mawazo? khaaa! maana kuna siku zingine sitamani kurudi nyumbani....hela inatoka kama maji na vile napenda pesa kuliko mangi!
haya...plz endeleza ungamo lako na wewe hapo chini....najua mnayo mengi
afu mawe yenu mnayonirushiaga walaaaa this is me exhaling...at least....