Marley bro's.....!!!!

Marley bro's.....!!!!

Ahimidiwe Jah rastafaray the majest selasie yeye atupae mmea wa utambuzi wa mema na mabaya mmea umeao kondeni kwa ajili ya kitubio na sala amani na upendo udumu daima
Usiseme maneno ya ujinga kwa kinywa chako, wala moyo wako usiwe na haraka kunena mbele za Mungu; kwa maana, Mungu yuko mbinguni, na wewe upo chini, Kwa hiyo maneno yako na yawe machache.
Don`t be rash with your mouth, and don`t let your heart be hasty to utter anything before God; for God is in heaven, and you on earth. Therefore let your words be few.
Cha msingi upendo.bangi tutumie lakini sio kwa style ya ibada.sio kitu hai japo inatupeleka high.hakuna tofauti ya kuvuta na kutovuta .mimi nimevumbua.tushukuru sana kwa allah.one love
 
image.jpg
Angalia wawili wa kulia wenye tishet nyeusi halafu niambie
Mkuu huyo sio Dammy,.... Hebu fananisha na hii pix ninayoweka hapa.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom