donlucchese
JF-Expert Member
- Mar 23, 2011
- 17,258
- 22,140
One heart[emoji173]One love
Wakati huo unapuliza moshi mzito taratiiiibu...Whatagwan Selecta RastaFarian Iron Lion Zion Haille Sellasie
Naaam stimu ziko highWakati huo unapuliza moshi mzito taratiiiibu...
Ndo inavotakiwaJamaa alifanya kazi yake kikamilifu aisee, katika umeri wa miaka 36 mpaka anaondoka duniani aliacha vijana wa kutosha kabisa
Itabd nizisake ngoma zao mkuuNa hawa ni wajukuu wa marley wanaofanya vizuri kwenye muzik kiwa sasa
SKIP MARLEY mtoto wa Cedella Marley
View attachment 597076
DANIEL MARLEY mtoto wa Ziggy
View attachment 597077
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Duuuh....kweli Bob alikuwa Mwanaume Mashine....[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji115] [emoji115] [emoji115]
Duh, ni ndugu hao jamaa?Dooooh priceless
Ziggy,Stephen,Rohan,Kyaman,Damian,Julian na Rob
Hapo ni puff puff pasl