BangiNyeusi
JF-Expert Member
- Jul 14, 2016
- 490
- 589
Kwa wale waliosoma/ wanasoma chuo cha usimamizi wa fedha (IFM) naomba mnijuze kama ni kweli ni haki ya mwanafunzi kuongezea alama 1 katika somo alilopata 39, endapo alama hiyo moja akiongezewa inaweza ikaleta matokeo chanya katika jumla ya matokeo yake.....! Hii elimu ngumu sana ila hatuna namna itabidi tusome tu