Marks 1...

BangiNyeusi

JF-Expert Member
Jul 14, 2016
490
589
Kwa wale waliosoma/ wanasoma chuo cha usimamizi wa fedha (IFM) naomba mnijuze kama ni kweli ni haki ya mwanafunzi kuongezea alama 1 katika somo alilopata 39, endapo alama hiyo moja akiongezewa inaweza ikaleta matokeo chanya katika jumla ya matokeo yake.....! Hii elimu ngumu sana ila hatuna namna itabidi tusome tu
 
Ndiyo ,unaweza kupata hilo alama moja,nenda kajaze complain form ,lakin inategemea mara nyingi inakuwa applicable kama mtu ana sup 7 akipunguziwa hio 1 hawezi disco tena au kama una hio sup 1 ,sema jaza complain form tuu unaeza pewa hio marks 1
 
7 mkuu na paper kazaa zimegota kwenye 39.. ngoja nijaribu bahat mara nyingine
 
Ilikuwepo zamani siku hizi imefutwa naskia
Kwa wale waliosoma/ wanasoma chuo cha usimamizi wa fedha (IFM) naomba mnijuze kama ni kweli ni haki ya mwanafunzi kuongezea alama 1 katika somo alilopata 39, endapo alama hiyo moja akiongezewa inaweza ikaleta matokeo chanya katika jumla ya matokeo yake.....! Hii elimu ngumu sana ila hatuna namna itabidi tusome tu
 
Sasa wewe una supp saba bado unatafuta huruma tu?we njoo tulime tu huku mtaani
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom