AshaDii
Platinum Member
- Apr 16, 2011
- 16,190
- 18,080
Safi kabisa kajukuu....
Umeona bana........
Mi nlivyoona Masemere wangu ndo kifaa nachopenda kukiingiza kwenye himaya, sikuhangaika sijui kumshika kiuno hazarani, mi nlikamata yeye nikamwambia nataka uwe mama watoto wangu. Naye kwa kuwa alikuwa anataka kumark teritory yake akakubali. Basi mara ndii.....Kilivyojaa nikamwambia baby come this way.......
Ka-Matesha na ka-Mamshanga wetu ndo territory yetu kuu. Hata tukifanya wizi, bado tunarudi nyumbani kwenye himaya yetu......Huko nje ni wizi mtupu, huku ndani ndo kwenye himaya yenyewe.
Narudia tena, for the real and true love........... territory ni ndoa!
Hapo ODM ni moja ya sababu nakupenda.... Msimamo wako hapo....