Marking your territory...

MJ1 Umegusa sehemu nyeti ya Mapenzi na muhimu saana… Ni kweli kabisa kuna watu hupenda kufanya hivo iwe kwa Mwanamke ama mwanaume…. Nimependa Boss alivosema… kua "A man anaweza Mark territory kuliko the lady" But huo ni mtazamo tu…. Ingawa woote wawili waweza weka/acha alama ya kutaka kuonesha kua huyu ni wangu – nafikiri it is most effective mkaka akifanya….

Mkaka ana njia na mbinu nyingi za kuonesha kua huyu ni wangu… Na mara nyingi akifanya hivo, hua yupo mbele ya marafiki ama ndugu na jamaa na hata mtaani kwake ama mtaani kwa the lady in question…. From my assumption ni kwamba sio tabia ya wanaume kufanya hivo kwa wanawake wooote; bali tu Yule ambae he has intense feelings/yupo nae serious (thou saa ingine ni tabia yake tu) Na believ e me you Mwanaume aki "Mark" kua this is my territory… Message is sent and delievered…. For wanaume wengi wana kama a "silent understanding" kwamba if Yule ni wa mshikaji – haitakiwi uguse… thou kuna wale huenda extremes na kutaka kutongoza bila kujali aidha kwa kukujaribu… ama tu sababu nae kakutamani, hapa akija atakuja kwa gear ya kukujali na kumponda mshikaji (your Man)….

Personally naona kama vile Mwanamke aki Mark territory haina nguvu… kwamba wanawake wenzio wakimuona wajue kua ni wako?? Kwamba wakatae wakitongozwa na jamaa hata kama ana mvuto kwa yeye personally?? (For mara nyingi wanawake hupenda kuona kua wee ulotongozwa sasa umeonekana bora kuliko Yule alonae… hivo unakuta haisaidii)… Na mara nyingi wanawake tunapenda Marking our territories with kitu Fulani.. kama Designers Mirror, Saa ya Ukutani, vifaa vya jikon, Frame ya picha… na the like thou nguvu yake kuonesha HE is YOURS… haina nguvu saaana zaidi ya kufurahi sha roho yako……

Take note kua as time goes on... haya mambo yanafanyika inevitably na involuntary... hasa kama mwakutana mara kwa mara... walala kwake mara kwa mara... Mnajikuta mwisho unaacha hiki ama kile (for the simple reason kua you will be back soon lakini sio kwa nia ya kua "mark")
 
dahhh
Kipindi hicho
Nkienda kwake nabeba kila kitu nkitoka kwake siachi kitu nyuma..(harufu ya perfume tu ndo itabaki kwake)
ila kuna hii tabia moja ya nguo zangu za ndani ataichukua sjui sababu... (tullivyotengana nlimwambia anirudishie kakataa)
anyhow hainisumbui sana.. isje mletea balaa baadaye (kwa mamsap mpya)

yap hiyo tabia ya kushikana mikono, ananishika kiuno sjui kumuweka mkono kwenye mfuko wa nyuma wa suruali ,
"random kisses", kukaa kwenye mapaja yake, kunibeba tukiwa beach, dahhh mapenzi yana raha yake jamaani..
ila yakichachuka machungu kuliko ndimu.
kwenye disco ndo hupati hata nafasi ya kuhema....

Kujibu swali lako si lazima kuwekeana alama ila mkiwa kwenye ile "moment"
inakuja natural..... (hii ni kwa physical contact) ni sisahau na zile za
ku "show off"

na tukija kwenye vitu , "Ni wako" kwa hiyo haijalishi ukiacha au la
kama ke/me anakupenda ile ya haswa ye mwenyewe ataviweka mfano
picha yako jikoni hahahaha lol...

Nway MJ1 na Mbu nakimbiaga poster zenu sababu zinanikumbusha
ambako staki kukumbuka....
sante....

dahhhhhh
mbaona topic inajieleza kirahisi hivyo kila eleweka bana unachozungumzia
ila hapa nyumbani kwetu ni tuna amuaga tu kutoelewa si kwamba hatuelewi...
hahahahaha MJ1 wewe walimu wa kata wanapenda kujieleza hivyo mweehh
uwakute ofisini break ya saa nne ni michapo kwa kwenda mbele...lohhh

Bana mie napenda sana Topic Zenu wewe na Mbu ila yanibidi nijizuie kuchangia
mweehh usiache kuleta mambo matamu kuwafaidisha wengine huwa nasoma
comment zote kwenye thread zenu bali sjangii tuu saa nyingine wajifunza
na kujifurahisha kwa kusoma tu..

huwa nawazaga "Kama MJ1 na Mbu wakiwa pamoja"( dating or marriage)
watakuwa "Perfectooo" couples.. (siri usmwambie mtu hahahah ) :)

....lol....afrodenzi asante kwa kuliona hili... nishamaliza nyimbo zote hapo kwa manajamiione lakini bado nahisi
anadhani "aaaghhh, huyu nae asijekuwa ndio wale wale...!"...

kuna zile za mimba... na kuna zile za kuvishana pete...
hizo ndio njia asilia za kibinadamu..

soulmate...
, nitarudi kuchangia jioni nikipata wasaa...
 
women don't mark their territories.
kwa sababu wao ndio territories yenyewe....

labda ufanye decorations ya territories.....but mwenye kazi ya ku mark
hiyo territory ni mwanaume...
labda wewe utafute mbinu ya kumfanya yeye aanze ku mark hiyo territory.......

...si ndio maana kila siku naandika humu mwanajamiione ni soulmate wangu jamani, niachieni!!!! eee...lol!

...nilikuwapo.

Dear Wapendwa
Natumaini wote mu wazima wa afya. Nisameheni kwa utitiri wa Threads wajameni mwezenu mie mwanafunzi nina kiu ya elimu hii ya kuboresha mapenzi!.

Najua kuwa wengi wetu tunapoanza mahusiano na tuwapendao tunakuwa na hamu ya kuufahamisha ulimwengu mzima kuwa Flani ni mpenzi wangu! Na kwa upande mwingine sometimes hata tunapokuwa tumekwishasimika mahusiano yetu kwa let say ndoa takatifu au tu uzao huwa bado tunapenda kutangazia umma kuwa am Mrs flani au Flan keshawahiwa na pengine hata kama una uhakika na ndoa yako basi bado tu tunajitengenezea njia ya kufumuza 'mwizi'.

Mfano kwa wanawake ambao ni single mara nyingi huwa tunaweka uwepo wetu kwenye 'maisha' ya mpenzi mfano, nyumbani kwake tukienda klumtembelea basi mdada utahakikisha umeacha japo nguo ya ndani kama si khanga ili mradi kuji'homkisha' ati. Wengine huenda mpaka an extra mile ya kuhamishia baadhi ya nguo kwa mpenzi ili tu ataekuja ajue kuwa 'the vacant is filled'. Kwa wale wenye ndoa basi mtu anaacha tu kwa gari, iwe viatu/sandoz au khanga au hata handbag au hand lotion!! Ili mradi chochote cha kuweza kutambulisha 'uwepo wake'

Ninaimani kuwa wanaume nao huwa wana'namna' wanavyoweza kumark their territories mfano, wapo wanaume ambao wanademand kupewa a 'proper' introduction pale mnapokutana na mtu; wale ambao akitembea anapenda kukushika kiuno ili mradi tu ule ujumbe wa 'Hiki ni kifaa changu' ufikishwe ipasavyo.

Nauliza
1. Je unafikiri ni muhimu kuweka 'alama'?
2. Kama ndio je ni vitu gani ambavyo mtu anawezavifanya ili ku'mark his/her territory"?? kuhakikisha kuwa watu wanapata ujumbe wa 'MJ1 ni wangu' au 'Hiki ni kifaa changu, kaeni mbali' ) ?? Note mimi si kifaa maana mh labda jifaa!!.
Nimeisha-mark territory kwa rangi ya bluu, sasa nione kidume chochote kile kinasogea au kukaa karibu kitaipata habari yake lol!!!!
 
mj1,kuna wanawake wamepinda,akikuta viatu vyako kwenye gari ya mtu ndo kwanza anavivaa! ni tabia mbaya binafsi pia inachangia,ya uswahili na kupenda vya watu,lol
bt kuweka territory kama mwenza hakujali sidhani kama inasaidia!kuna mpwa wangu alifiwa na mume,na jamaa alikuwa kahamishiwa mkoani for 2 yrs hivi.bibie kwenda kufanya packing na ku-clear his desk,zaidi ya hela nyingi,alikuta khanga,shanga za nanilii na bangili na kinga.so nadhani kuna bibie huko alikuwa siku anakuja khanga na vitu vyake vinawekwa home,na anajiskia yuko nyumbani!ataosha hadi madirisha na kufyagia uvungu! in the end of the day,mwenza kama hasisitizii kuji-mark mwenyewe,hata ukiweka beacon za ardhi unajisumbua tu!get the message,pengine unaweza kumjulisha tu kuwa im getting the bigger picture hapa...
 
MJ1 Umegusa sehemu nyeti ya Mapenzi na muhimu saana… Ni kweli kabisa kuna watu hupenda kufanya hivo iwe kwa Mwanamke ama mwanaume…. Nimependa Boss alivosema… kua "A man anaweza Mark territory kuliko the lady" But huo ni mtazamo tu…. Ingawa woote wawili waweza weka/acha alama ya kutaka kuonesha kua huyu ni wangu – nafikiri it is most effective mkaka akifanya….

AD aksante kwa hili bandiko lako loh ona sasa mie nilikuwa najua kinyume chake kuwa ni vema kwa mwanamke kumark kumbe ni mwanaume ndiye anayependeza kumark territory yake kuwa AD ni wangu washkaji kaeni pembeni. Hivi huu siwezisema ni mwendelezo wa mfumo dume?? tehtehteh kwa nini uniwekee alama we kuwa mimi ni wako na kwa nini mimi nisiutoe ujumbe sawa? Mwe! msijenambia na ile ya kutoa out inapendeza mwanaume akikutoa out kuliko mwanaume!

Mkaka ana njia na mbinu nyingi za kuonesha kua huyu ni wangu… Na mara nyingi akifanya hivo, hua yupo mbele ya marafiki ama ndugu na jamaa na hata mtaani kwake ama mtaani kwa the lady in question…. From my assumption ni kwamba sio tabia ya wanaume kufanya hivo kwa wanawake wooote; bali tu Yule ambae he has intense feelings/yupo nae serious (thou saa ingine ni tabia yake tu) Na believ e me you Mwanaume aki "Mark" kua this is my territory… Message is sent and delievered…. For wanaume wengi wana kama a "silent understanding" kwamba if Yule ni wa mshikaji – haitakiwi uguse… thou kuna wale huenda extremes na kutaka kutongoza bila kujali aidha kwa kukujaribu… ama tu sababu nae kakutamani, hapa akija atakuja kwa gear ya kukujali na kumponda mshikaji (your Man)….

Hapa nimekupata mydia nimekuelewa kuwa mnapokuwa pamoja na watu wengine nadhani ni sawa kwa mwanaume kuonyesha hayo ingawa hata mwanamke anapaswa kuonyesha umiliki wake ingawa kwa ustaarabu maana akizidisha mabusu , sijui mikumbato lazima atabambikiwa neno baya. Sie pia tuna zile silent moves ambazo ukiifanya lazima ujumbe utafika. Mfano matumizi ya macho, smile, soft touch na hata sauti kila unapoongea na mwenzi wako au unapoaddress kitu kwake. Hivi vitu vikitumiwa kwa ustaarabu hufikisha ujumbe in a very powerful volume than ukiwa kila saa unakumbatia, mara umemshika kiuno e.t.c.

Najiuliza what if hamko pamoja mara zote?? yaani kama mfano unaishi mbali na yeye, ni wazi kuwa kama unataka kumark lazima utajimakishia nyumbani- ndo hizo za kuacha nguo, perfume e.t.c. Au ndo ndani ya gari unaacha kielelezo chako si unajua tena!! Kuna wanaume wengine hudiriki hata kukushawishi uvae panty yake ukiwa unatoka au upulize perfume yake ili mradi tu ahakikishe kuwa utabakia wake kwa kipindi hicho chote.

Personally naona kama vile Mwanamke aki Mark territory haina nguvu… kwamba wanawake wenzio wakimuona wajue kua ni wako?? Kwamba wakatae wakitongozwa na jamaa hata kama ana mvuto kwa yeye personally?? (For mara nyingi wanawake hupenda kuona kua wee ulotongozwa sasa umeonekana bora kuliko Yule alonae… hivo unakuta haisaidii)… Na mara nyingi wanawake tunapenda Marking our territories with kitu Fulani.. kama Designers Mirror, Saa ya Ukutani, vifaa vya jikon, Frame ya picha… na the like thou nguvu yake kuonesha HE is YOURS… haina nguvu saaana zaidi ya kufurahi sha roho yako……
Hahahah AD umenichekesha .eti kuzuia wasikubali wakitongozwa?! hili sidhani kama linawezekana kwani akiamua kutongoza atatongoza tu na wewe kama wewe huwezimzuia mwanamke mwenzio asikubali kutongozwa kama ameamua kwa matakwa yake. Nadhani mara nyingi huwa tukiacha vielelezo hivyo kwenye magari au nyumba ni katika kujaribu kufikisha ujumbe kwa huyo ajae kuwa ...yeye ni kipozeo tu, anatumiwa kisha atadampiwa kwani mie mwenyewe, mwenye mali nipo!!....... hii inatupa kajifaraja kidooogo kuwa 'mdoeaji' hata kama kaambiwa nakupenda sana hakuna mwingine zaidi yako na nitakuoa basi ajue kadanganywa nafasi ishawahiwa (hata kama wewe hujaolewa) lol wanawake tuna kazi!!

Take note kua as time goes on... haya mambo yanafanyika inevitably na involuntary... hasa kama mwakutana mara kwa mara... walala kwake mara kwa mara... Mnajikuta mwisho unaacha hiki ama kile (for the simple reason kua you will be back soon lakini sio kwa nia ya kua "mark")

Lol the Boss kasema anavikusanya vyooote anatupia Store haahhahahaah ukikaribia kuja basi vinarudishwa loh
 
Mwe kumbee!!!!!!!!!!!!! ushakutana na wale ukitoka nae ukajisahau tu ukamshika mkono utakavotolewa haraka utafikiri ulikuwa unataka kumuibia.

Wee Chauro bana! kushikana mikono?? lol..... Nimepiga picha hapa... Negative inachekesha....lo... kama vilke kaguswa na moto! Ila ukweli hata mimi sipendi tutembee tumeshikana mikono bana.... Ila kuna body languages kama Involuntary touching (mmmh! hapa naona nimejikamata naona ndo ya mkono yaingia hapa....) kugongana macho... na the like....
 
....lol....afrodenzi asante kwa kuliona hili... nishamaliza nyimbo zote hapo kwa mwanajamiione lakini bado nahisi
anadhani "aaaghhh, huyu nae asijekuwa ndio wale wale...!"...

Hahahah Mbu bana mbona nilisharidhia? Au unataka nikukubalie kupitia hapa jamvini? Maxe atatudai fees shauri lako. Mie ni wako jiaminishe hahaha au nami niweke "Mark!??....ntaweka picha yangu kwenye kishika funguo cha gari yako!! au photo ndogo kwenye Wallet yako lol

kuna zile za mimba... na kuna zile za kuvishana pete...
hizo ndio njia asilia za kibinadamu..

soulmate...
, nitarudi kuchangia jioni nikipata wasaa...

Eh Mbu hizi za hivi sasa sio Marking the territory bali itakuwa ni teritorize the territory hahahahah unaua mazima hasa hilo la kubeba mimba. Hiyo ya kuvishana pete, si ni mark ambayo inamuhusu zaidi mwanaume au??

karibu Soulmate, nakusubiri
 
...si ndio maana kila siku naandika humu mwanajamiione ni soulmate wangu jamani, niachieni!!!! eee...lol!

...nilikuwapo.

..........Hahahah haya nadhani ama The Finest hajakusikia vizuri bado, au ndo anataka ligi!!

Nimeisha-mark territory kwa rangi ya bluu, sasa nione kidume chochote kile kinasogea au kukaa karibu kitaipata habari yake lol!!!!

Hahahhah The finest unamark kwa maandishi?!! lol haya bana kwa wanaJF imefahamika vipi mitaa ya Sinza nikipita kule??
 
Hayo mambo yapo, lakini ninakubaliana na yule aliyesema ikiwa kuna mapenzi ya kweli, ya kuaminiana na kuheshimiana, hakuna haja ya "kumark your territory". Pia nahisi ni mambo yanayofanyika wakati katika mazingira ya "wizi", wakati wa kutafuta, wakati bado unapigania kuchukua ushindi dhidi ya washindani wenzako na kadhalika. Lakini ikiwa tayari unaye, ya nini kumark territory? Hujiamini au humwamini? Pengine yeye anakusaidia kumark hiyo territory ili kuwambia waviziaji kuwa tayari he/she occupied.
Lakini tusichanganye baina ya kumark territory na kuonesha mahaba kwa mwenzako kama hiyo ya kushikana, kubebana, kubusiana n.k.
Kuhusu mkasa ulowahi kunifika. Siku moja mdada jirani alokuwa ananivizia akielewa hayumo katika ajenda yangu alimwaga shanga kupitia dirishani. Hii ilinigharimu uhusiano nilokuwa nao na yule dada akawa anajisifia kwa tendo lile la "ama wangu au tukose wote".

Nimecheka huyo wa kumwaga shanga lol, kaazi kweli kweli
 
..........Hahahah haya nadhani ama The Finest hajakusikia vizuri bado, au ndo anataka ligi!!

Hahahhah The finest unamark kwa maandishi?!! lol haya bana kwa wanaJF imefahamika vipi mitaa ya Sinza nikipita kule??
Naomba Mungu Mbu asione hii post yako, halafu mitaa ya Sinza wanakuogopa kweli kweli lol
 
mj1,kuna wanawake wamepinda,akikuta viatu vyako kwenye gari ya mtu ndo kwanza anavivaa! ni tabia mbaya binafsi pia inachangia,ya uswahili na kupenda vya watu,lol
bt kuweka territory kama mwenza hakujali sidhani kama inasaidia!kuna mpwa wangu alifiwa na mume,na jamaa alikuwa kahamishiwa mkoani for 2 yrs hivi.bibie kwenda kufanya packing na ku-clear his desk,zaidi ya hela nyingi,alikuta khanga,shanga za nanilii na bangili na kinga.so nadhani kuna bibie huko alikuwa siku anakuja khanga na vitu vyake vinawekwa home,na anajiskia yuko nyumbani!ataosha hadi madirisha na kufyagia uvungu! in the end of the day,mwenza kama hasisitizii kuji-mark mwenyewe,hata ukiweka beacon za ardhi unajisumbua tu!get the message,pengine unaweza kumjulisha tu kuwa im getting the bigger picture hapa...

Nimecheka mpaka basi unavaa hata hujui ni vya nani????
 
hahahha hiyo ya viatu imenikumbusha lile shuo walilolitoa kina Dina wa Leo tena siku moja; eti mkaka kaleta bibi nyumbani kwake kwenye kitanda wanachoshare na mkewe, bibie akayatandua mashuka yote akaingia kabatini akatandika mengine kisha akamtumia sms mke wa jamaa eti looh mwanamke mchafu wewe, mashuka mpaka yamebadilika rangi!!..............ama kweli ni uswahili.

Haa masikini so jamaa alikuwa na nyumba mbili? jamani. Mh huyo wa kuacha shanga naye ana makusudi makali! na hapo ukute nyumbani mke akiamua kujistukisha kwa shanga, kaka anamtoa baru.hebu niondolee makitu yako hayo, sijui umejifunza wapi!! kujifanya hayapendi kumbe kule kayahifadhi kabisa pair nyingine kwake, kimada akija kajitia amesahau kuvaa, anamvesha
 
Teritory...........Teritory............Teritory!

Leo tunamark Teritory.....

Kama umependa sana, na hutaki kupoteza ukipendacho........... Jaza yeye mimba! Hiyo ndo kiboko yake!
 
bana eeeh mjini shirika ujamaa shamba,umaki teritore usimaki hapa mjini utaibiwa tu,hiyo ndo hali halisi,the best solution is not to think about it,si wanaume si wanawake siku hizi ukware ndo umetawala.
 
Back
Top Bottom