Dah,you are genius.MJ1 Umegusa sehemu nyeti ya Mapenzi na muhimu saana Ni kweli kabisa kuna watu hupenda kufanya hivo iwe kwa Mwanamke ama mwanaume . Nimependa Boss alivosema kua A man anaweza Mark territory kuliko the lady But huo ni mtazamo tu . Ingawa woote wawili waweza weka/acha alama ya kutaka kuonesha kua huyu ni wangu nafikiri it is most effective mkaka akifanya .
Mkaka ana njia na mbinu nyingi za kuonesha kua huyu ni wangu Na mara nyingi akifanya hivo, hua yupo mbele ya marafiki ama ndugu na jamaa na hata mtaani kwake ama mtaani kwa the lady in question . From my assumption ni kwamba sio tabia ya wanaume kufanya hivo kwa wanawake wooote; bali tu Yule ambae he has intense feelings/yupo nae serious (thou saa ingine ni tabia yake tu) Na believ e me you Mwanaume aki Mark kua this is my territory Message is sent and delievered . For wanaume wengi wana kama a silent understanding kwamba if Yule ni wa mshikaji haitakiwi uguse thou kuna wale huenda extremes na kutaka kutongoza bila kujali aidha kwa kukujaribu ama tu sababu nae kakutamani, hapa akija atakuja kwa gear ya kukujali na kumponda mshikaji (your Man) .
Personally naona kama vile Mwanamke aki Mark territory haina nguvu kwamba wanawake wenzio wakimuona wajue kua ni wako?? Kwamba wakatae wakitongozwa na jamaa hata kama ana mvuto kwa yeye personally?? (For mara nyingi wanawake hupenda kuona kua wee ulotongozwa sasa umeonekana bora kuliko Yule alonae hivo unakuta haisaidii) Na mara nyingi wanawake tunapenda Marking our territories with kitu Fulani.. kama Designers Mirror, Saa ya Ukutani, vifaa vya jikon, Frame ya picha na the like thou nguvu yake kuonesha HE is YOURS haina nguvu saaana zaidi ya kufurahi sha roho yako
Take note kua as time goes on... haya mambo yanafanyika inevitably na involuntary... hasa kama mwakutana mara kwa mara... walala kwake mara kwa mara... Mnajikuta mwisho unaacha hiki ama kile (for the simple reason kua you will be back soon lakini sio kwa nia ya kua "mark")
Atamark territory ya penzi lake kwa baamedi yupi?babu mjukuu wako TF mbona simuoni siku ya tano leo hajafika nyumbani au anamark terittory yake
I thought umevaa kilemba....Babu Asprin nakuvulia kofia..
dahhh ngoja niendelee kukusoma
ooopsss na Shkamoo..
Teritory...........Teritory............Teritory!
Leo tunamark Teritory.....
Kama umependa sana, na hutaki kupoteza ukipendacho........... Jaza yeye mimba! Hiyo ndo kiboko yake!
Wivu ni weakness? hell NO! Kama hata majogoo na mabeberu yasiyokuwa na akili yanaoneana wivu seuze siye binadamu wenye akili na utashi. Shem asikudanganye mtu, wivu ni kipimo cha mapenzi. Bila wivu atajuaje kama unampenda?..... Tatizo ule wivu wa kupitiliza......... Ngoja tusiichakachue hii sredi bana.
Shem kumbe leo namwaga mapwenti eh? Nimeamkia ubavu wa kushoto ndo maana...LOL
Atamark territory ya penzi lake kwa baamedi yupi?
Nimemaliza ku-mark territory FAIRWAY naelekea OCEANICAtamark territory ya penzi lake kwa baamedi yupi?
(Msalimie hommie, mwambie aache ujinga, aongeze wivu kiduchu)Hapo sasa (in blue).... Mie hio ni moja ya disqualification kua huyo dada/mama Ama kaka/baba is not into Mpenzi wake... Huwezi sema huyu mpenzi wako alafu unamtreat kama dadako/kakako usijali kabisa yuko wapi na nani... Hapo in Red wacha kujishtukia...lol... Thread ya MJ1 haichakachuliki... walinzi wakutosha wapo kulinda isitokee..... (But on second thot ngoja nikuache kweli tutajisahau..lol.. kwa heri...)
I thought umevaa kilemba....
Haya soma taratibu afu usisahau ile ahadi yetu.
Nimemaliza ku-mark territory FAIRWAY naelekea OCEANIC
Dah,you are genius.
Nlikua nafikiria jinsi ya kumtetea "tam" wangu ila umenisaidia hapa chini.
Binafsi naona "kuweka territory" kama alivo i-define MJ1 ni kuonesha kutojiamini.
Me nachukulia sababu ni kwakua anakuja mara kwa mara (she is coming today)
ndo maana anakua anaacha nguo zake,viatu,etc.
Ntamkaribisha JF esp MMU na specifically kwenye hii thread ili nije nione reaction yake
baada ya kuona mitazamo tofauti ya wadau,hapo ntajua kwanini anafanya hivo
but so far nachukulia sababu ya chini kuwa valid.
Siku hizi hatumii ugoro anatumia majanihahahah lol
sasa ile ahadi si ndani ya wiki mbili ??
au hata leo ugoro unataka??
Hiyo ya blue ni kweli kabisa hasa kutokana na ukweli kuwa "nje kuna waviziaji wengi". Ikiwa utajilegeza na imani ya kuwa "kwa vile kanioa au ninaishi naye sasa ni wangu", pamoja na tabia za wanaume wengine vijogoo, kuna hatari ya kunyang'anywa tonge mdomoni. Ni vizuri kukaa guard kulinda chako.Uwiii MAMMAMIA pole sana, huyo wa kumwaga shanga alikusudia kabisa kukuharibia mazima. Utajiteteaje uaminike kuwa shanga zilimwagwa kupitia dirishani? Ama kweli kuna wanawake vichaa!
Kwa hiyo hapo unasema kuwa kama tayari ashakuwa wako (kihalali) huna haja ya kumark territory yako? Kwa wanaume ni sawa mkishatuoa mnatakiwa kurelax ila sasa kwenu nyie sasa dah ni ngumu kwetu kurelax kwa sababu afadhali mngekuwa mkienda kwa vimada unastarehe tu kisha mnarejea ila sasa wengine mnatia nanga kabisaaaa.... so kwa mwanamke sidhani kama kuna kitu kama.tayari ashanioa basi ni wangu daima, so nijirestishe!!
Nadhani hii dhana ya marking your territory inawezakuwa applied hata kwa undani zaidi, mambo yote tuyafanyayo ya kuspice up relationship, mf. kuhakikisha kuwa unavaa vizuri, unatoka smart, una afya nzuri, uko happy ......haiwezifanya mwanaume akajulikana kuwa anaye anayempatia mwonekano huo?? Au?
Sasa mbona unaweka siri hazarani?hahahah lol
sasa ile ahadi si ndani ya wiki mbili ??
au hata leo ugoro unataka??
Dah!!! Babu ndio umeanza ku-mark territory au???Sasa mbona unaweka siri hazarani?
Afu kwanini The Finest kakugongea LIKE? Sikumbuki kama nshakula mahari yako, atakufa mtu hapa!
Sasa mbona unaweka siri hazarani?
Afu kwanini The Finest kakugongea LIKE? Sikumbuki kama nshakula mahari yako, atakufa mtu hapa!
Afadhali hommie umeliona maana huu ni ukabaila kabisa huuODM, hivi viashiria vya Wivu ni vp?