Mark X, Crown, Brevis, ipi inafaa kununuliwa?

lavian

JF-Expert Member
Jul 13, 2015
722
329
Habari zenu wakuu,najua huku kuna wa2 wengi sana wanaoweza kufahamu sana na kuweza kunishauri ni ipi inafaa kati ya hizi,maana kwangu mimi hii ndo itakuwa mara yangu ya kwanza kununua gari
Xo ipi inafaa kati ya hizi ukichukulia kwa toleo la mwaka sawa
 
Haya madude yana similarity kadhaa kwa finishing yake esp ndani.Ila kubwa la kwanza angalia affordability ya fuel ila kama sio ishu kwako then another step ni fashion lipi unapenda..vp juu ya speed nadhani mark x na brevis unajua habari yao..finally muonekano wa nje je? unapenda ipi..unatumia barabara za aina gani etc..hope u gota some clues ..toss your coin!
 
mkuu crown iko powa sana lkn ni.aina 1 na mark x lkn yenyewe imemzidi mark x kidogo kwanza ni gari ngumu.

lkn sijajua ww wazungumzia crown ipi??.

sababu zipo crown ambazo kuanzia gear box mpaka engine na mifumo mingine ya umeme ni sawa kabisa na mark x.
ingawa crown yenyewe ipo vizuri zaidi hata body lake ni ngumu kidogo na limekaa kisasa zaidi.

maana engine za Crown na mark x ni sawa sawa na hata gearbox zake.

nakuhusu maswala ya maspeed chukua hao wawili moja wapo.

ila mm crown naona imekaa njema sana.

brevis wenzie ni mark 2 grand sababu ndio wanafanana engine zake 2JZ FSE na 1JZ FSE
 
Nachukulia kama 2006 model mkuu
 
Apo gari ni Mark X
Crown, brevis zna mfumo m1 wa engine na zitakusumbua kwenye mfumo wa umeme hasa zikichoka... Fuel consumption pia ipo juu
Sio kweli mkuu mark x na crown ndio zinaendana.ila hapo inategemeana ni crown ipi??
crown na mark x zote zina engine ya 4GR FSE or 5GR FSE or 3 GR.FSE

lakini hiyo brevis ina 1JZ FSE or 2JZ FSE gari ambayo ina fanana na brevis ni mark 2 grande
 
Ina maana mark x na crown ni gari moja kasoro bodi??
 
Back
Top Bottom