Preta
JF-Expert Member
- Nov 28, 2009
- 24,320
- 18,887
Brevis.... uwezo wako wa wese tu
Ingawa wengine tungekwambia vanguard au fortuner
Au Amarok......Puma au Tundra.......
Brevis.... uwezo wako wa wese tu
Ingawa wengine tungekwambia vanguard au fortuner
Weka wazi kufaa kwa vipi?zote zinafaaHabari zenu wakuu,najua huku kuna wa2 wengi sana wanaoweza kufahamu sana na kuweza kunishauri ni ipi inafaa kati ya hizi,maana kwangu mimi hii ndo itakuwa mara yangu ya kwanza kununua gari
Xo ipi inafaa kati ya hizi ukichukulia kwa toleo la mwaka sawa
sorry nlikua na fanya comparison na progressSio kweli mkuu mark x na crown ndio zinaendana.ila hapo inategemeana ni crown ipi??
crown na mark x zote zina engine ya 4GR FSE or 5GR FSE or 3 GR.FSE
lakini hiyo brevis ina 1JZ FSE or 2JZ FSE gari ambayo ina fanana na brevis ni mark 2 grande
Haswaaaaa....Au Amarok......Puma au Tundra.......
Ulishawahi nunua mark x mkuuMtizamo wangu! Tangu nianze kununua saloon sijapata raha kama ninayopata kwa crown! Nimenunua crown tatu hadi sasa! Royal saloon,royal extra, na athlete performance yake ni hatari barabarani! Nikianza safari gari inayonipa shida kwa speed ni Benz tu nyingine huwa nahisi Niko peke yangu barabarani! Comfortability ndio usiseme! Durability ndio mpango mzima! So so strong!
"Mkuu Mark x gari imara kidogo ukilinganisha na Crown & Brevis ambazo zote hazijatofautiana sanaa kwenye matumizi ya mafuta kwani zinacheza 8 l/ 100 km. Brevis from $2,500-$3,000 na Crown $2,900-$5000 na Mark x $3,000-4800 kwa beforward.com kwa ushauri wangu mimi jaribu Mark x 2005 ni gari nzuri mimi ninayo hadi kesho"Habari zenu wakuu,najua huku kuna wa2 wengi sana wanaoweza kufahamu sana na kuweza kunishauri ni ipi inafaa kati ya hizi,maana kwangu mimi hii ndo itakuwa mara yangu ya kwanza kununua gari
Xo ipi inafaa kati ya hizi ukichukulia kwa toleo la mwaka sawa
"progress lita 1 per km 8"Progress nayo vipi kuhusu fuel consumption na durability?