LEGE
JF-Expert Member
- Oct 14, 2011
- 5,122
- 9,223
MKUU crown huweyi fananisha na mark x hata kidogo mark x ipo kimazai sana .crown hata body yake ni ngum sana ."Mkuu Mark x gari imara kidogo ukilinganisha na Crown & Brevis ambazo zote hazijatofautiana sanaa kwenye matumizi ya mafuta kwani zinacheza 8 l/ 100 km. Brevis from $2,500-$3,000 na Crown $2,900-$5000 na Mark x $3,000-4800 kwa beforward.com kwa ushauri wangu mimi jaribu Mark x 2005 ni gari nzuri mimi ninayo hadi kesho"
labda ili kumaliza huu utata kwa faida yangu mm na wewe na wengine tujaribu kudadavua kwa kuzilinganisha .
mfano kwenye engine na gear box zote ni sawa. sasa tujaribu kuitafuta tofauti ipo wapi?