Mark ii inauzwa mil 5.5 tsh

Kisendi

JF-Expert Member
Jan 29, 2009
699
178
WANA JF KAMA KUNA MTU YUPO TAYARI KUNA MARK II IPO KWENYE HALI NZURI KABISA, AC POWER ENGINE YAKE POA RANGI NYEUPE
1LITRE PER 10KM

KAMA UNAHITAJI nitumie E-mail mkipaluka@gmail.com nitakupa number ya simu. TUPO UPANGA KARIBU NA AGAKHAN HOSPITAL

DALALI HAPANA
 
SPECIFICATION;

MARK TWO ZIKO NYINGI

IKIBIDI WEKA PICHA

kuwa serious utapata wateja
 
Moderator, hawa watu wengine hawako serious! wanatumia muda wetu unnecessarily!! Huwezi kuweka such unsatisfactory information, inadivert attention za watu wakati hakuna kitu cha maana ameandika. Hebu kuweni makini na mambo yenu mnayofanya. Weka taarifa zinazojitosheleza hapa, vinginevyo tunakujaji kuwa haupo serious!!
 
Watanzania ndo maana tunashindwa vitu vingi sana. Hao waJapan na wengine wangekuwa wanauza magari kutoa nusu specification km ww naamini wangekuwa wameanzisha majumba ya maonyesho ya hayo magari. Toa a complete info on the car..... Just an advice though...........
 
Back
Top Bottom