7ve
JF-Expert Member
- Feb 1, 2014
- 1,567
- 4,432
Kitambo sana hiyo.Kuna ile mzee anachomwa moto mbele ya mtoto wake kumbe kajifukia chini. Adui anapigwa risasi ya jicho heka heka mwanzo mwisho. Kwanza kuna muda starring ni kama alishonwa usoni bila ganzi yaani movie full visanga tu.


