Mark chapter 17

Jaguar

JF-Expert Member
Joined
Mar 6, 2011
Posts
3,440
Reaction score
1,029
Baada ya mahubiri,mchungaji smith aliwaambia waumini wake wakasome mark chapter 17 kwa ajili ya maandalizi ya somo la jumapili ijayo.Siku ya ibada akaomba kujua waumini wangapi wamesoma mark chapter 17,karibu robo tatu ya kanisa waliinua mikono juu.Mchungaji aliwaangalia,akatikisa kichwa kisha akasema ,"there is no mark chapter 17 in the bible,the last chapter for mark is chapter 16!",nyinyi wote waongo wakubwa na leo mahubiri yetu ni kuhusu uongo!(Pasaka njema kwenu wana JF wote na MUNGU awabariki!)
 
Hahahahaaa... Ina maana watu walitaka kujichukulia ujiko kwa Muhubiri. Aliwakamata kirahisi kweli.
 
halafu ujuwe hata ufunuaji wa biblia kwa wanao ijua vizuri unafahamika, kuna siku me nilichemka baada ya kuambiwa nisome mstari flani kutoka kitabu flani si nikaanza na table of content!!!
 
Kwi kwi kwi kwi... Nadhan hapo wale wote walionyoosha mikono hawatakuwa ibadan kimawazo.
 
Hapo ndo utaiona tofauti ya true worshipers na church goers!
 
Hii inaitwa entrapment, tutamshitaki mahakamani kwa kupotosha na kukwaza kondoo.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…