MaRijali mtaacha lini hulka hii..!

MaRijali mtaacha lini hulka hii..!

demu wake amemwabia ageuke aone jinsi nguo fupi zinavyodhalilisha wanawake
Mkuu SI, kwa wanawake na wivu wao Mmmh !! hapatoshi bado amwelekeze huko...Na handsome wake kajitosa mzimzmzima !!
 
Kukinai na ulichonacho; Yaani unakula nyama choma sahani full....Halafu mara unatazama sahani ya mwenzio !! Vipi hapo? haya mamboz yapo very common kwa marijali..... Jamenii fungukeni mutupe taswira za mujini.
man.jpg


Fahari ya macho aifilisi duka
 
Mkuu SI, kwa wanawake na wivu wao Mmmh !! hapatoshi bado amwelekeze huko...Na handsome wake kajitosa mzimzmzima !!
mbona mimi wa kwangu ananiambiaga nigeuke kama there is somethig impressing or annoying ktk uvaaji wa wanawake wenzake..ni lyf styl tu..
 
Kukinai na ulichonacho; Yaani unakula nyama choma sahani full....Halafu mara unatazama sahani ya mwenzio !! Vipi hapo? haya mamboz yapo very common kwa marijali..... Jamenii fungukeni mutupe taswira za mujini.
man.jpg

Mbali na hivyo mwanaume kugeuka unapopitwa na mwanamke bomba ni hulka, am not sure but nilisikia kuwa kuna enzymes ambazo zinazo kuwa produced ambazo ni productive mwilini, but as the saying goes heresay is not conclusive evidence
 
Mchezo utaisha pale 1=4Wenye kucheza sana hapo hawana ujanja.
 
Ni tamaa tu zinawasumbua

Afu w/ke muache uchoyo!
Mnataka muangalie nyie tu, akiangalia m/me kosa! lol!
Sometimes huko na buu wako, linapita ndembwendembwe unakuta ke wanamchora afu wanakuangalia usoni vipi utatazama?!!!!
...
Yaani mi ukipita mzigo sipwesi kabisaaaa!
Eeee! Nazungusha shingo kama feni vile!
...
Muache uchoyo
 
Wanawake tatizo lenu wanaume hamtujui,sisi ni watu wa ku appreciate sana utukufu ,so tukifanya hivyo huwa tunautukuza na kuusifu uumbaji wa Mwenyezimungu na sio vinginevyo!!
Na haya mambo vilevile Mkuu katuumbia sisi
 
Kukinai na ulichonacho; Yaani unakula nyama choma sahani full....Halafu mara unatazama sahani ya mwenzio !! Vipi hapo? haya mamboz yapo very common kwa marijali..... Jamenii fungukeni mutupe taswira za mujini.
man.jpg

Yote hayo ni katika
Kuitazama dunia!
Kusifia uumbaji wa Mwenye Enzi Mungu!
Hakuna kosa lolote hapo!
Tatizo ni iwapo kuna kitakachoendela baaada ya hapo!

Bazazi!
​
 
Kukinai na ulichonacho; Yaani unakula nyama choma sahani full....Halafu mara unatazama sahani ya mwenzio !! Vipi hapo? haya mamboz yapo very common kwa marijali..... Jamenii fungukeni mutupe taswira za mujini.
man.jpg

Reading at the menu doesn't mean I gonna eat
 
Mmmh una maana gani?
Yule ambaye ni wako hata awe mzuri vipi huwezi kumkodolea tena macho maana tayari ushampenda, kipya cha nje ndo mara nyingi wanaume wanavitamani viingie ktk 18 zao hata kwa gharama yoyote ile.
 
Wanawake hamuwezi kuelewa hili.
Sio kila tunapokodoa macho ni kwa ajili ya sex. No! Jus checkin out and appreciate uumbaji!
IM NOT A PLAYA, I JUS CRUSH A LOT!
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom