MaRijali mtaacha lini hulka hii..!

MaRijali mtaacha lini hulka hii..!

mbona mimi wa kwangu ananiambiaga nigeuke kama there is somethig impressing or annoying ktk uvaaji wa wanawake wenzake..ni lyf styl tu..
Mkuu wako ni smart kweli anataka umnunulie anakuomba kiujanja huyo!! Je, baada ya kukuambia fanya kam wamtokea ''mmm UONEE" ...ke hawana msalieee full wivu.
 
Fahari ya macho aifilisi duka
Sasa duka lako lipo wazi na biashara inaendelea....Vipi ukodole bidhaa za duka la jirani? Yaonekana wee simfanya biashara mzuri waweza tia hasara kwa family bizness!!
 
unafanya moja fahari ya macho, then unarudi, kwan ww ndo huna hisia?
Dignity ya mwenza...Haswa anapokua mbele yako au beside..... Ukifanya fahri ya macho ni dharau Sana!! kwani yeye ni gunia la udaga kwako?
 
Boys Never realize How Much One Little Thing Can HURT a Girl
 
Kwani kuna ubaya gani kuangalia maumbile tofauti tofauti ili umkumbuke Mungu wako na umsifie kwa kazi nzuri ya uumbaji aliyoifanya?
Nalog off
 
wengine Roho zao hazija shindiliwa michi tuu,kwa urijali gani mpaka ukodolee mwanamkemwengine mijicho,sasa fanya wewe mwanamke uone ulimi njee na povu la mdomo kumtoka....
 
Wala huwaga hawana nia mbaya. Its just the way they are wired.
 
Mimi wakwangu hua na mwambia hivii kwa mfano nipo hotelini inamaana nisisome bango la menu ya chakula kisa ninakula kwa muda huo? Kuna siku nanaweza kuhitaji chakula tofauti na hichi ninachokula sasaivi.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom