Maridhiano ya kweli yatapatikana Tundu Lissu akiaachiwa na Rais Samia akikiri watu waliuliwa ili kulinda maslahi ya wanaCCM

Idugunde

JF-Expert Member
Joined
May 21, 2020
Posts
7,170
Reaction score
8,622
Ukweli upo wazi kuwa watu waliuwawa ili wanaCCM wanamtandao waendelee kuiba rasimali za nchi.

Kiongozi mkuu wa CCM akiri wazi kuwa hatukupoteza ndugu zetu kwa kufariki by natural death ila kwa sababu watu walishaukataa utawala wa CCM.

Tundu Lissu aachiwe sababu hakuna kesi. Mahakama iishasema ushahidi ni batili hauwezi kupokelewa mahakamani

Kwa nini haachiwi?

Maridhiano sio suala dogo.
 
Naunga mkono hoja
 
Vyombo vya ulinzi na usalama vinafanya kazi kubwa sana kuhakikisha nchi inatawalika kwa mujibu wa Katiba na Sheria. Sadly, wakati mwingine hulazimika wahalifu kupoteza maisha.
 
Kwa misingi ipi kibaka auwawe kwa risasi wakati hana hata siraha?
 
Masharti ni 3 tu:-
1. Muuaji na sherikali yake haramu waondoke.
2. Serikali ya mpito iundwe.
3. Wauaji wakamatwe.
 
walioandamana ndio wana majibu ya maridhiano, hivi Tundu Lissu akiachiwa maiti zitapatikana, wauaji wataadhibiwa, tume huru itapatikana, matokeo yatafutwa, Tanganyika itarudi ukishapata majibu ndio utajua kama maridhiano yapo au hayapo.
 
Back
Top Bottom