Maria Sarungi vs Fatma Karume kuna mambo haya

Ni nakosa kumuita Halima mzee
It is defamation of high degree kufanya hivyo. Achana myth ya aina hiyo.
Hata hivyo kwenye kusimamia Nini, mimi naona anasimamia usaliti.
Na tumbo lake pia
 
You are terribly off the mark my child. If we need knowledge, we don't have to depend on individuals but instead we must depend on institutions. Shall the issue be knowledge...
Acha wivu, wao "duo" achana nao...bahati ya mwenzako usiilalie mlango wazi!
 
Naona hata huyu aliyeileta hapa kaleta kuchonganisha ila nachompendea zaidi Fatma hana upande inapokuja Suala la kutetea watu

hapelekwi na wanasiasa anasimamia anachoamini
 
Hao watu ni wanafiki kupitiliza

Kule twitter na instagram wanajiona ni upinzani,, humu JF wapo CCM tena wanaitetea hasa
 
Kitu kimoja wanachofanania ni kwamba wote hawaishi maneno yao.

Wanakosoa vikali lakini akatokea mtu kuwakosoa wanampiga tofali.

Hawana maana zaidi ya wapika vurugu mitandaoni
 
You are terribly off the mark my child. If we need knowledge, we don't have to depend on individuals but instead we must depend on institutions. Shall the issue be knowledge, are these girls universities or individuals?....
Professors are individuals anyway!
 
Hao wote baba zao wameshachuma mema ya nchi wameshawapa maisha mazuri sahiv serekali iko kwenye mikono tofaut na damu zao ndo maana wamekua watu wa kuhamasisha vurugu.

Lakin baba zao wakat wanajimilikisha mali za serekali walikua kimya tu na hata sahiv kwenye harakat zao hawazungumzii kurudisha mali zilizochumwa kwa ufisadi na baba zao
 
Wanawake wanasheria huwa wanjiamini sna Sanaa yaani ndio maan wengi Ni single mama
 
Uzito wa vichwa vyenu kuelewa mambo kwa haraka ndio unamsababisha awatolee povu.
sio kila jambo linahitaji kueleweka kwa haraka.

mfano kudai fidia ya 1bln kwa askari,mpaka uwe kuku kwanza ndio unaweza kumwelewa wakiri huyu msomi kutoka chadema.
 
Maria Sarungi - yupo very calm anapokuwa na hoja, anasikiliza na anaeleza kwa utulivu sana. Ana msimamo,uelewa na hana kiburi/ujivuni. Si mtaalamu wa sheria but yupo smart.

Fatma Karume - Ana Jazba, mihemko si mzungumzaji mtulivu ana lack comm skills kwa kutumia maneno ya makwazo au ya kutaka kuonesha she is strong. Anajishuku sana kama mwanamke. Ni very feminist. Ila anaifaham sheria na anapenda kusimamia anachoamini.
Fatma kibri
 
Ni nakosa kumuita Halima mzee.

It is defamation of high degree kufanya hivyo. Achana myth ya aina hiyo.

Hata hivyo kwenye kusimamia Nini, mimi naona anasimamia usaliti.

It is defamation of high degree kufanya hivyo. Achana myth ya aina hiyo. Nimeipenda hii. Sana tu.
 
Maria Sarungi - yupo very calm anapokuwa na hoja, anasikiliza na anaeleza kwa utulivu sana. Ana msimamo,uelewa na hana kiburi/ujivuni. Si mtaalamu wa sheria but yupo smart.

Fatma Karume - Ana Jazba, mihemko si mzungumzaji mtulivu ana lack comm skills kwa kutumia maneno ya makwazo au ya kutaka kuonesha she is strong. Anajishuku sana kama mwanamke. Ni very feminist. Ila anaifaham sheria na anapenda kusimamia anachoamini.
Kweli we komeo🤣🤣 Tena la chumaa, maana chuma haibadiliki😂😂

Ndivyo ulivyo..
 
Back
Top Bottom