Maria Sarungi: Independent Candidate?

Kuongoza nchi kwa sababu umemfuatilia tweeter!!!!????

Seriously ndio urais umekuwa hivi sasa???!!!
Asee. .,. . . . . . !!!!!

mkuu OLESAIDIMU, mimi nimeshangaa na kusikitika sana kwa maoni ya huyu mkuu hapo juu. ndio maana kila mtu anaona kuwa anaweza kuwa rais wa tz,ni kutokana na akili fupi za baadhi yetu watz.mtu anafaa kuwa kiongozi sababu ya tweets zake tu!!!Kwa mtindo huu,basi JF ina watu wengi sana wenye uwezo wa kuwa rais wa tz.
Tuache utani na hii taasisi,vinginevyo tutaendelea kuongozwa na watu wa aina ya ''sura nzuri'',na ''tabasamu pana''.
 

Kinachosikitisha zaidi ni kuwa wana wafuasi kabisa, wanawatetea jua kwa mvua!!!
Ni mtindo unaotaka kuota mizizi sasa!!

Yaani umaarufu na sifa za uongozi tenga moja!!!
 
Kila mtu na mtazamo wake! Wanawake kuwatawala/kuwaongoza Wanaume ni CHUKIZO mbele za Mungu! Wanawake ni mashetani wamekuwa wakitumika kudhambisha wengine! Ndiyo maana Mungu hakupenda wawe viongozi wa kuwaongoza Wanaume! Mahala popote panapoongozwa na Wanawake huwa hapakosi mapungufu, na mara zote uongozi wa Wanawake ni wa kihisia, wanapopingwa mitazamo yao au wakishindwa kwa hoja huwa wanahisi kudharauliwa "...au mnanidharau kwavile mimi ni mwanamke!?" na maneno mengine kama hayo! Kiukweli mwanamke hawezi kubalance hasira/mihemko yake kwa watu ambao wapo upande tofauti na mtazamo wake! Chunguza uone Bungeni, Serikalini, Mahakamani au kwenye Sekta binafsi kama kwenye Mabenki! Viongozi(ma-manager) Wanawake mara nyingi huwa hawako sawa kwenye uongozi wao! Sikatai wapo wanaofanya vizuri maeneo yao, ila wengi wao huwaharibia wenzao! Mifano ipo mingi inayoonesha kuwa wanawake hawawezi sio tu kuongoza bali wameshindwa na wameonesha kuwa hawawezi hata wakiwezeshwa! Eg Spika na mawaziri wengi tu Wanawake wameshindwa!
 

Tabia zote hizo anazo Jakaya
 
1. ameolewa na mu_ethiopia ( Yasser Arafat)
2. kufanya vizuri kwa Flavian Matata (mafanikio hayapimwi kwa kumwezesha mtu mmoja)
3. Misimamo thabiti....... (wapo waliokuwa na misimamoILA IKAYUMBA-MAALIM SEIF SHARIF HAMAD WA 2000 NA WA 2014)
4. KWA NINI SASA? kwa nini itokee kutambulishwa mitandaoni wakati huu/.....ahaaa kuna slogan ya NATANGAZA KIMYAKIMYA
 

uwepo wa ccm madarakani unachangiwa na upeo mdogo wa wananchi kutokana na kukosa elimu, hilo usibishe
 
"Insiders" you meant from the party wing??
Thought you were thinking of the state. . . . . .
Unfortunately it's virtually hard to separate political party/parties from the state since they have got that so called symbiotic relationship.If you ever read about the so called 'the organized crime' you will obviously understand me what I am trying to say.It's a world wide problem, If you ever visited American blogs and saw how Americans blamed both Democratic and Republican Parties for betraying people's interests while putting the corperations' interests first and then you will subsequently come to your senses that all political parties are serving the same master, big corperations.In Tanzanian circumstances, it's almost the story. You can't convince me that there is no single CHADEMA cadre who is not benefitting from the current system (CCM government).So they (opposition political parties & the current ruling party) consist of insiders in this sense. We need people are completely outside the system,the genuine outsiders.
 
huwa nashindwa kumtofatisha na SALAMA. sorry for that

Tofauti ya kwanza, kaolewa. Tofauti ya pili, anavaaga kama mwanamke. Tofauti ya tatu, nikimuangaliaga kwenye angle nyingine kama mwanaume huwa nasisimka kwa hisia.
 
niliza utasema Ubunge wa Kinondoni!!!! lol kumbe ni Urais kabisa? kweji Jk ameifanya taasisi ya Urais kuonekana ni kitu cheap kina mtu ana kiweza.
 
Huyu dada anajitambua sana,kuhusu Ubunge,angeweza kuwa na mchango mkubwa sana wa maendeleo.Atumiwe wazee wamwombe awakilishe jimbo kwa kupitia UKAWA.Binafsi namkubali sana.
 
Alipokuwepo kwenye Bunge la Katiba kuna lolote alilifanya likaingizwa kwenye hansard niende huko nikasome?

Alijitoa kwenye bunge maalum la katiba sababu yake ni kwamba, halikuwa tena bunge la maridhiano bali la upande mmoja hivyo hakuona haja ya kuendelea kupiga hela wakati matokeo yalikuwa yanajulikana.
 
Huyu ni Shy Rose Bhanji mwingine!!! Jamani! Hatutaki political celebrities!! Tunataka political leaders
 
Kweli wewe ni Kichuguu Nyumba inayohifadhi mchwa na nguchiro kwa pamoja bila mkwaruzo
 
Si ndiyo alikuwa anamwandalia Zito hotuba kipindu cha uasi ama?
 

Ha ha haaa political economy is the sweetest ever but you should be keen on context fella!!!
Economy has been the base always, and so it will remain but the apex is just a crossroad to either success or demise!!!!

Where are we???!!!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…