SONGOKA
JF-Expert Member
- Mar 8, 2012
- 1,836
- 1,845
unamzidi nini Salama?
you should direct your question to Maria sarungi
unamzidi nini Salama?
Kwa namna anavyoonekana hata kujua historia ya yule dada haijui lakini yeye anabisha tu,Ningemshauri afanye research ndogo tu kuhusu Maria Sarungi huenda mtazamo hasi alio nao kuhusu huyu dada utabadilikabado unaendelea kutetea hoja yako ya kudharau twitter japo nakushauri uache. Sababu zinaweza kuwa nyingi na hata hiyo ya tweets si ya kupuuza. Yule mdada si rahisi kukutana naye one on one kwa hiyo njia nyepesi ya kukutana naye ni kupitia social media. kama unataka CV ya Maria omba upewe.
Hana lolote huyo mwanamke. Yaani hii nchi bana shida kweli kweli. Mtu akitweet huku akinukuu vitabu vya zamani basi mshaconclude kuwa anafaa kuwa kiongozi. Me namfahamu vizuri sana huyu binti, hana lolote zaidi ya sifa na kutafuta wanaume wa kisiasa. Nikikutajia wanaume waliopita naye kwenye bunge la katiba unaweza kuzimia.....
Maria Sarungi ni binti wa Mzee Profesa Philemon Sarungi aliyewahi kuwa mkurugenzi wa kitivo cha afya cha Muhimbili na baadaye kushika nyadhifa kadhaa serikalini kabla ya kusitaafu.
Mwanamama huyu ameolewa na mwanamme mwenye asili ya Ethiopia akiwa na maskani yake Dar es Salaama ambako ana biashara zake binafsi kadhaa, mojawapo ikiwa ya kutafuta warembo wa kushiriki mshindano ya Miss World ya Donald Trump. Mmoja wa warembo waliopitia katika mikono ya Maria Sarungi ni mrembo Flaviana Matata ambaye sasa hivi anang'aa sana kwenye anga za urembo huko New York Marekani.
Ingawa sijui undani wake binafsi, najua kuwa Maria Sarungi siyo mwanasiasa, bali aliteuliwa na Rais kuingia kwenye bunge la katiba ambalo limemaliza muda wake. Mchango wake kwenye bunge hilo la katiba uko wazi.
Kwa kipindi cha zaidi ya mwezi mmoja sasa, nimekuwa nafuatlia tweets zake, na kugundua kuwa ni mwanamama mwenye msimamo thabiti ambaye hajawa corrupted na party politics za vyama. Anachukua mazuri kutoka vyama vyote na kupinga mabovu ya vyama vyote.
Ingawa hatujaruhusu kuwa na independent candidates kwenye nchi hii, mtu wa aina hiyo ndiye nilikuwa ninataka ashike uskani wa kuingoza nchi hii.
Party politics zimechangia sana kuharibu nchi yetu na tunatakiwa kuachana nazo kuanzia sasa.
". . . katika wanawake ninaowakubali huyu ni mmoja wapo. . . . " sijui ulikuwa unaandaa mazingira gani kwa andiko lako hili??!!Kwani nimekuambia na_present research or survey findings hapa hadi uliizie sample? You're going out of the context mkuu,all in the name of arguing and partisan fanaticism!
bado unaendelea kutetea hoja yako ya kudharau twitter japo nakushauri uache. Sababu zinaweza kuwa nyingi na hata hiyo ya tweets si ya kupuuza. Yule mdada si rahisi kukutana naye one on one kwa hiyo njia nyepesi ya kukutana naye ni kupitia social media. kama unataka CV ya Maria omba upewe.
Tsehai.Ati kaolewa na nani ?
Of course wapo wengi,tatizo unajaribu kutaka kunibana ili ushinde hoja...I won't be caught up in such kinds of 'gotcha' games of yours". . . katika wanawake ninaowakubali huyu ni mmoja wapo. . . . " sijui ulikuwa unaandaa mazingira gani kwa andiko lako hili??!!
Hii ni deductive reasoning, well next time jaribu kuwa consistent au ungesema tu kuwa unamkubali bila ya kuweka "kati ya". . . . . .
Maria Sarungi ni binti wa Mzee Profesa Philemon Sarungi aliyewahi kuwa mkurugenzi wa kitivo cha afya cha Muhimbili na baadaye kushika nyadhifa kadhaa serikalini kabla ya kusitaafu.
Mwanamama huyu ameolewa na mwanamme mwenye asili ya Ethiopia akiwa na maskani yake Dar es Salaama ambako ana biashara zake binafsi kadhaa, mojawapo ikiwa ya kutafuta warembo wa kushiriki mshindano ya Miss World ya Donald Trump. Mmoja wa warembo waliopitia katika mikono ya Maria Sarungi ni mrembo Flaviana Matata ambaye sasa hivi anang'aa sana kwenye anga za urembo huko New York Marekani.
Ingawa sijui undani wake binafsi, najua kuwa Maria Sarungi siyo mwanasiasa, bali aliteuliwa na Rais kuingia kwenye bunge la katiba ambalo limemaliza muda wake. Mchango wake kwenye bunge hilo la katiba uko wazi.
Kwa kipindi cha zaidi ya mwezi mmoja sasa, nimekuwa nafuatlia tweets zake, na kugundua kuwa ni mwanamama mwenye msimamo thabiti ambaye hajawa corrupted na party politics za vyama. Anachukua mazuri kutoka vyama vyote na kupinga mabovu ya vyama vyote.
Ingawa hatujaruhusu kuwa na independent candidates kwenye nchi hii, mtu wa aina hiyo ndiye nilikuwa ninataka ashike uskani wa kuingoza nchi hii.
Party politics zimechangia sana kuharibu nchi yetu na tunatakiwa kuachana nazo kuanzia sasa.
Kuongoza nchi kwa sababu umemfuatilia tweeter!!!!????
Seriously ndio urais umekuwa hivi sasa???!!!
Asee. .,. . . . . . !!!!!
Kwa namna anavyoonekana hata kujua historia ya yule dada haijui lakini yeye anabisha tu,Ningemshauri afanye research ndogo tu kuhusu Maria Sarungi huenda mtazamo hasi alio nao kuhusu huyu dada utabadilika
Mtazamo wake jamani
Watu kama huyu mleta mada ambao wanadai wana kitu inaitwa ''exposure'' ndiyo wa kwanza kurudi hapa janvini na kuanza kutoa kejeli eti CCM inapata kura kutoka kwa watu ambao hawana elimu wakati ukweli ndiyo huu.
Eti mtu anapitishwa kuwa kiongozi anayefaa baada ya kumkubali kutokana na tweets zake. GOD forbid!
Wananchi wengi wapiga kura siyo wajinga kwa kiasi hiki!.
Wananchi wengi wanatumia hekima na busara katika matumizi ya haki zao za kidemokrasia kwenye sanduku la kura.
Ni hawa hawa kama mleta mada baada ya kumchagua utawasikia baadaye wanaanza kusema, huyu ni mamluki au msaliti huku wakisahau kuwa maamuzi yao ya kitoto ndiyo yamemuweka kuwa kiongozi.
Hizi ndizo siasa za ''kizazi kipya''.
As much as I like Maria Sarungi but considering her for the presidential post is kinda premature. She is still inexperienced and lack emotional maturity needed to be a leader of this very natural resource rich nation with full of corrupt politicians, citizens and don't forget our jealous and untrustworthy neighboring countries.
Hasa kule Twitter. Ukimhoji Zitto anakujibu yeye tena kwa jazba na kejeli kwelikweli.Kazi yake ni kumpotosha Zitto,
Wache wafu wazikane...
Wote hao ni wafu wacha wazikane mkuu,Hasa kule Twitter. Ukimhoji Zitto anakujibu yeye tena kwa jazba na kejeli kwelikweli.