Margaret Thatcher has died!!!

Margaret Thatcher has died!!!

RIP Baroness. Yule mtu wetu wa ocean road aende faster atuwakilishe kwenye msiba huu mkubwa
 
unaweza ukamtangulia
Mimi mbona niko tayari muda wowote tu, kwenda Nyumbani (kwetu Pazuri... ninayo hamu kuishi na Mwokozi wangu...) lkn hawa ma -terrorist sintakutana nao huko, kwa maana wao watakuwa motoni!
 
Rest in peace Iron Lady. Alikuwa iron Lady kweli.

Pasco hujapata mwaliko kwenda na fastjet kwenye mazishi hayo, hesabuni trip nyingine hiyo.Japo mama huyo na swahiba wake Reagan walikuwa moto kwa Mataifa ya kiafrika wakti wa East/West blocks ni mfano wa kuigwa kwa kuweka viongozi wenye Legacy.Siyo kuwa na viongozi bora fuata upepo ,hujui kesho anaamuka na ajenga ipi.RIP Magee
 
Last edited by a moderator:
what she did jamani,mimi huyu simjui

Alikuwa champion wa watu wasio tegemea Serikali kula kulala .She was the champion of conservatives women ( Hard working is the soln ) Anti- socialiasm ,communist .Alikuwa anaogopwa huyo hakuna tena Kama yeye.Government is not a soln ,you are.
 
RIP Margaret!

margaret-thatcher_1744343c.jpg

R. I. P. .....................Iron Lady
 
Pasco hujapata mwaliko kwenda na fastjet kwenye mazishi hayo, hesabuni trip nyingine hiyo.Japo mama huyo na swahiba wake Reagan walikuwa moto kwa Mataifa ya kiafrika wakti wa East/West blocks ni mfano wa kuigwa kwa kuweka viongozi wenye Legacy.Siyo kuwa na viongozi bora fuata upepo ,hujui kesho anaamuka na ajenga ipi.RIP Magee
Mkuu Kanga, nipate mwaliko huo mimi kama nani?!.

Huyu mama namkumbuka vizuri kwenye role yake kwenye vita vya visiwa vya Fakilandi!.

RIP Iron Lady Maggie!.

Pasco.
 
Mungu ailaze roho ya Margaretha mahali pema peponi, Amina.
 
chezeya mimi....nikikwambia unitafute hutaki.....juzi nilikuwa na Boflo pale Ambrosia mbezi beach.....alikwambia......?

Nitakutafuta tatizo Boflo mambo yake yakimuendea vizuri huwa hanikumbuki kabisaaaa! Ukimuwekea ngumu ndio huyo mbio ananitafuta kuniomba nikubembeleze usimtose jumla.
 
Last edited by a moderator:
Amefariki akiwa na miaka 87, alistaafu kazi za jamii mwaka 2002. Amekuwa waziri mkuu kwa awamu tatu.
 
Back
Top Bottom