kabanga
JF-Expert Member
- Dec 12, 2011
- 37,506
- 18,872
Hivi alikuwa bado yupo duniani?
hata mimi nashangaa...!:A S 39:
Hivi alikuwa bado yupo duniani?
Haituhusu!
mmmmh!ninyi huwa mwaguswa haswa na lipi!!haituhusu pia
Waziri mkuu mstaafu wa Uingereza Bi Margaret Thatcher amekufa kwa strokeakiwa na umri wa miaka 87. Huyu mama atakumbukwa kwa ushirikiano wake na Rais Regan wa marekani katika kuimarisha mfumo wa ubeberu duniani.
RIP
Source bofya hapa chini
Margaret Thatcher dies of stroke aged 87 - Telegraph
Waziri Mkuu wa zamani wa Uingereza amefariki Dunia#Magret Thachter maarufu kama IRON LADY

Miaka hiyo ya themanini, kwenye taarifa ya habari wakati huo RTD wakitangaza jina lake nilikuwa nasikia kama Margaret Chacha.Pumzika Mungu aliko kupangia
Waziri mkuu mstaafu wa Uingereza Bi Margaret Thatcher amekufa kwa strokeakiwa na umri wa miaka 87. Huyu mama atakumbukwa kwa ushirikiano wake na Rais Regan wa marekani katika kuimarisha mfumo wa ubeberu duniani.
RIP
Source bofya hapa chini
Margaret Thatcher dies of stroke aged 87 - Telegraph
kumbe ulimaanisha hivyo? Anyway ngoja nimsaidie JK kuandaa logistics za kwenda UK kuhudhuria mazikoMkuu hii si ndio Hottest news kwa sasa?? Hujui nature ya JF members?