Ta Muganyizi
R I P
- Oct 19, 2010
- 5,355
- 2,737
ok yeye alifuata ule msemo asiyefanya kazi asile,basi alikuwa kiboko cha wapenda vya bureAlikuwa champion wa watu wasio tegemea Serikali kula kulala .She was the champion of conservatives women ( Hard working is the soln ) Anti- socialiasm ,communist .Alikuwa anaogopwa huy
o hakuna tena Kama yeye.Government is not a soln ,you are.
Binafsi, tangu awaite ANC na kiongozi wao wakati Mzee Mandela akikwa jela kuwa ni chama cha kigaidi -Terrorist, sikumpenda tena pamoja na u-Iron Lady wake.
Mkuu neno ugaidi linatumika kimaslahi zaidi na si kama tunavyolijua sisi.