Waziri mkuu mstaafu wa Uingereza Bi Margaret Thatcher amekufa kwa strokeakiwa na umri wa miaka 87. Huyu mama atakumbukwa kwa ushirikiano wake na Rais Regan wa marekani katika kuimarisha mfumo wa ubeberu duniani.
RIP
Source bofya hapa chini
Margaret Thatcher dies of stroke aged 87 - Telegraph
Umenishtua sana maana kichwa cha habari kinasema Waziri Mkuu mstaafu! mi nilidhani Mzee Msuya kafa! hata hivyo huyu Mama alikuwa Mwanamama Chuma!