Marekeni inapeleka askari 3000+ Middle East!

Haipendezi na si ya kushabikia, lakini ngoja tuone "ubabe" wa Iran! Iran ana kila sababu ya "kumpiga" USA maana USA amemchokoza IRAN kwa kuua "mbabe " wao! Haya Iran uwanja ni wako!

USA matajiri ndo muda wao wa kupiga pesa, wale matajiri waliona tenda za kuliuzia jeshi siraha, na wale wanao support magaidi kwa kuwa zana vita, hafu wote wanataka kumiliki maeneo ya Mafuta wachimbe kutamu hapo, Dunia ya ajabu sana kama kweli kuna moto siku ya kiama matajiri watakuwa wa kwanza kuchomwa moto.
 
Yo stone bridge on my way to the persian gulf...see you there.kikwarukwaru,sauti ya dume,cheka ung'atwe,chocho hadi kiserian.
scott.
 
Kama Iran haiwezi kumlinda Major General wake basi haipo salama, unaanzia wapi kumuua kiongozi yeyote wa USA?

Iran ikijaribu hata kupiga chafya USA itapigwa ichakae na mapambano yote yatakua kwenye ardhi yao huku US tunaangalia kwenye TV tu na miguu juu.
Kama tunaangalia Mechi Vile
 
Haipendezi na si ya kushabikia, lakini ngoja tuone "ubabe" wa Iran! Iran ana kila sababu ya "kumpiga" USA maana USA amemchokoza IRAN kwa kuua "mbabe " wao! Haya Iran uwanja ni wako!
Dunia ilivyo; unaweza kuchokoza au kuchokozwa. Linapokuja swala la Vita. Mwenye silaha madhubuti na uweledi wa kuzitumia kwa wakati muafaka ndio atakua victor.
Na Kama mazingira yanavyoonyesha vita itapiganwa kwenye ardhi ya Iran. Ambapo watakosa muda wa kuzalisha silaha zingine. Maana viwanda vinaweza kuchakazalwa na mabomu.

Huruma zenu haziwezi kubadili Matokeo yajayo.
Unaweza ukachokozwa na ukapigwa pia. Na unaweza ukachokozwa na ukapiga. Hili swala linategemea Uwezo ulionao, sio haki iko wapi.

Kama Iran itaamua Kwa kifo cha mtu wao mmoja, ni sababu tosha iingie vitani dhidi ya USA, ikijua vita hiyo itawagharimu maelfu ya uhai wa watu wake na uchumi. Kama taifa itakua imefanya kosa baya sana la Ubinafsi. Itadhihirisha kua wanastahili kutolewa madarakani hata leo.
 
Analysis yako iko sawa na majority ya analysts katika CNN. Kila mmoja anasema forget about Iran kuingia kwenye vita na Marekani. Wanasema hata hiyo revenge, inaweza ikachukua hata miaka kabla ya kuitekeleza! Analyst mmoja alikuwa Iran kwenyewe...aliyesema hivyo. It is not that much simple.
Wenye busara wamesema kuwa USA had JUSTIFICATION to act as it did, but it was not WISE to act is it did
 
Koment Bora Kuwahi Kuiona Toka Huu Mwaka 2020M Uingie....

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hapana. Vita endapo itatokea battleground itakuwa ni Iraq.

Ni kweli kabisa umesema
 
Awe ni persians asiwe ila anachotaka Marekani ni mafuta. Huwezi kupigana vita vya hasara karne 21. Russia na China ni wale wale wanaong'ata na kupuliza. Wanajifanya wema lakini wana mioyo ya mbwa mwitu. China kachukua bandari ya Sri Lanka kwa miaka 100 baada ya Sri Lanka kushindwa kulipa deni kwa China.
Tena hao china ni wahovyo sana.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Sababu ni waoga. Israel pekee ndiye kasapoti.....

Iran hawezi wa chezea Israel na USA

Sent using Jamii Forums mobile app
Unafahamu athari aliyofanya Amerika nchini kwake na kimataifa?

Jenerali aliyeuliwa ni wa nchi na sheria ya nchi ya Amerika na ya Kimataifa inakataza nchi kuuliana viongozi wa kinchi hata wakiwa maeneo mengine sababu ya ukinzani wa kisiasa.

Ndiyo maana Pentagon imejitetea wamesema si agizo lao ni agizo la rais. Na hii kitu ni mbaya sana! Kuuliana viongozi wa kinchi nchi nyengine zinaweza zikafanya kisa tofauti za kisiasa unafikiri Dunia itakuwa wapi?
 
Usiwaamini wanasiasa kabisa kitu anachomshutumu nacho mwenzake sii ajabu akaja kukifanya yeye akipata hiyo nafasi.
 
Back
Top Bottom