HeheheLini Marekani Kamfata IRAN Mkuu ?!
Lini Umesikia US Kaipiga IRAN Sio Kuwaua Wairan Kuua Wairan Ndani Ya IRAN Kama Alivyofanya Kwa Soleiman Ama Kwa SYRIA IRAQ LEBANON Ama LIBYA
Sent using Jamii Forums mobile app
Hivi huyu mmarekani mnae msemea si ndio huyu alipigwa na wavaa kaptula wasomari au Ni mwingine? SI ndo huyu alikimbia medani ya kivita Vietnam au mwingine.Si ndo huyu Kama mwanasesere anamtengeneza sadam na kumuua mwenyewe? Si ndo huyu Kama mwanasesere anamkuuzaaa Baghdad na kumuua mwenyewe? Si ndo huyu Kama mwanasesere anamtengeneza osama, anajiripua mwenyewe harafu anamuua?Huyo Iran mnayempa kichwa ameendesha operations ngapi? Japan wanamjua vema mmarekan, hana maneno, ukmchokoza anakumaliza
Moscow haijalala pia.
IRAN Hajapata Sababu Yakumpiga US Ijapokua US Kumuua Soleiman Imekua Pigo Sana Kwa IRAN......
Sent using Jamii Forums mobile app
Kwa hiyo Syria ya Bashar al-Assad ni special case, siyo!? Russia anaendelea kupiga kazi na China yupo mbioni kupatA kandarasi za maana nchi Syria. Kagua kwanza vyanzo vyako vya habari. Ni juzi tu, US ilitangaza kumtimua Maduro wa Venezuela madarakani, China, Russia na Iran pamoja na Cuba zikaweka ngumu. Venezuela inaendelea kupunga upepo mwanana tena wa ' hariri'. Mkuu, unipolar power imekwisha, sasa tupo kwenye multipolarity sphere.Russia au China atakupampu na utajaa halafu unaingia vitani, ukishaingia wanakuacha ukomae mwenyewe.
Mkuu uko vizuriDiverted attention ya Impeachment
Ungekaa kimya ingekusaidia sana mkuu ila hapa ata mimi sina msaada na wewe!Hivi huyu mmarekani mnae msemea si ndio huyu alipigwa na wavaa kaptula wasomari au Ni mwingine? SI ndo huyu alikimbia medani ya kivita Vietnam au mwingine.Si ndo huyu Kama mwanasesere anamtengeneza sadam na kumuua mwenyewe? Si ndo huyu Kama mwanasesere anamkuuzaaa Baghdad na kumuua mwenyewe? Si ndo huyu Kama mwanasesere anamtengeneza osama, anajiripua mwenyewe harafu anamuua?
Mnamuongelea mmarekani yupi?
Si ndo huyu aliyepigwa mkwara na mtoto wa miaka 30 kiduku? Au huyu aliyeshikwa sharubu miaka yote na Fidel Castro akamtekenya tekenya anavyoweza.
Namfahamu mmarekani mwoga aliyeua wanawake,vilema, na watoto pale Hiroshima hata Nagasaki... Namfahamu mmarekani muoga aliye jificha ficha akiwatanguliza wakazi wa Benghazi mbele kumuua gadafi kwenye mji wa Sirte. Yajayo yanafurahisha na kuhuzunisha.. huyu Ni muiran taifa imara lililowindwa na mmarekani na uingereza miaka 50 pasipo mafanikio...vita hii lazima ipiganwe kuondoa makali ya empichment na kumrejeshea muingeleza haki yake ya mafuta iran... Matarajio Ni ardhi ya iraq kuwaka Moto pale mafahari haya yatakapo kutana kwenye viunga vya baghdad
If push comes to shove, kama kikiwaka kweli basi West watakuwa upande wa Trump, wanaweza wakawa hawajapenda approach ya Trump lakini West ipo united ikitokea mwenzao yupo hatarini, ndio pointvya Nato anyway...maana huyo general wa Iran kawasumbua sanaFor the record, Iran sio waarabu ni Persians.
Na according to Business Insider major allies wa US wameonekana kuji-distance na Trump kwa kitendo cha ku order airstrike na kumuua huyo general wa Iran. So sio kama mnavyodhani.
PoleeUngekaa kimya ingekusaidia sana mkuu ila hapa ata mimi sina msaada na wewe!
Sent using Jamii Forums mobile app
Atomic bombings of Hiroshima and Nagasaki - WikipediaHuyo Iran mnayempa kichwa ameendesha operations ngapi? Japan wanamjua vema mmarekan, hana maneno, ukmchokoza anakumaliza
For the record, Iran sio waarabu ni Persians.
Na according to Business Insider major allies wa US wameonekana kuji-distance na Trump kwa kitendo cha ku order airstrike na kumuua huyo general wa Iran. So sio kama mnavyodhani.
Ukweli mara nyingi US wanapigana vita ambazo huwa hawashindi na wanapoteza resources nyingi sana na askari wengi na data wanazotoaga ni zakupikwa tu.Hivi huyu mmarekani mnae msemea si ndio huyu alipigwa na wavaa kaptula wasomari au Ni mwingine? SI ndo huyu alikimbia medani ya kivita Vietnam au mwingine.Si ndo huyu Kama mwanasesere anamtengeneza sadam na kumuua mwenyewe? Si ndo huyu Kama mwanasesere anamkuuzaaa Baghdad na kumuua mwenyewe? Si ndo huyu Kama mwanasesere anamtengeneza osama, anajiripua mwenyewe harafu anamuua?
Mnamuongelea mmarekani yupi?
Si ndo huyu aliyepigwa mkwara na mtoto wa miaka 30 kiduku? Au huyu aliyeshikwa sharubu miaka yote na Fidel Castro akamtekenya tekenya anavyoweza.
Namfahamu mmarekani mwoga aliyeua wanawake,vilema, na watoto pale Hiroshima hata Nagasaki... Namfahamu mmarekani muoga aliye jificha ficha akiwatanguliza wakazi wa Benghazi mbele kumuua gadafi kwenye mji wa Sirte. Yajayo yanafurahisha na kuhuzunisha.. huyu Ni muiran taifa imara lililowindwa na mmarekani na uingereza miaka 50 pasipo mafanikio...vita hii lazima ipiganwe kuondoa makali ya empichment na kumrejeshea muingeleza haki yake ya mafuta iran... Matarajio Ni ardhi ya iraq kuwaka Moto pale mafahari haya yatakapo kutana kwenye viunga vya baghdad
Iran ataufyata maana akijiroga akaanzisha vurugu atapigwa na dunia nzima ikiongozwa na USAHaipendezi na si ya kushabikia, lakini ngoja tuone "ubabe" wa Iran! Iran ana kila sababu ya "kumpiga" USA maana USA amemchokoza IRAN kwa kuua "mbabe " wao! Haya Iran uwanja ni wako!
USA anafuata mkataba wa UN na sheria za kimataifa,akishaamua utasikia hadi Saudia,Qatar,Australia wote watakuwa against Iran.Russia ,China,Korea ya kaskazin wataongea vimaneno lakini hawatatia pua.Israel ataambiwa akae kimya ila ataimarisha defense yake na kusaidia intelligence.Utashangaa Hafez Asad atakuwa upande wa USA.Iran atakuwa na Huzbollah,Hamas,IS na volunteers.Kichapo kitamuangamiza Iran ila vita haitakuwepo maana Iran hawezi kuchoma nyumba anayoishi kizembe namna hiyo.Mtu anakufuata kwako ili akupige halafu unaita mikwara mbuzi? Marekani siku zote anataka hasara uipate wewe siyo wewe ndiyo maana anakufuata kwako. Kibaya zaidi Iran yupo peke yake. Marekani + Israel + uingereza
Mafuta hayajawahi kumuacha mwaarabu salama
Iran akitaka kumuweza USA atume kombora kule kule washtn dc lazima USA aufyateHaipendezi na si ya kushabikia, lakini ngoja tuone "ubabe" wa Iran! Iran ana kila sababu ya "kumpiga" USA maana USA amemchokoza IRAN kwa kuua "mbabe " wao! Haya Iran uwanja ni wako!