Diverted attention ya ImpeachmentMarekani wamesheheni MIKWARA mbuzi lakini ndondi hawaziwezi!
Tuombe Mungu vita ibaaki katika maslahi kiuchumi isihamie kwenye imani ya diniHaipendezi na si ya kushabikia, lakini ngoja tuone "ubabe" wa Iran! Iran ana kila sababu ya "kumpiga" USA maana USA amemchokoza IRAN kwa kuua "mbabe " wao! Haya Iran uwanja ni wako!
TrueDiverted attention ya Impeachment
Ni sawa na kuahirisha tumbo LA kuharaDiverted attention ya Impeachment
Diverted attention ya Impeachment
Marekani wamesheheni MIKWARA mbuzi lakini ndondi hawaziwezi!
Mikwara mbuzi wakati keshafanya mauaji ya General, kafanya mauaji ya wapiganaji 25, na leo kafanya shabulizi tena? Hapo ni Iran ndio ameongea maneno tupu, ambayo tunasubiri ayatimize...japo siombei vita, ila USA ya sasa sio mikwara hii, Obama ndio alikuwa diplomatic akaonekana dhaifuMarekani wamesheheni MIKWARA mbuzi lakini ndondi hawaziwezi!
Impeachment ilishaishia mkuu, spika ndio kaambiwa apeleke senate, senate wamalizie ila kazuga tuDiverted attention ya Impeachment
Hahaa, nadhani ilikuja kama suprise, Iran hakugemea kabisa kama USA wangeweza ku pull move kama ile..USA kwenyewe walishangaaKama Iran haiwezi kumlinda Major General wake basi haipo salama, unaanzia wapi kumuua kiongozi yeyote wa USA?
Iran ikijaribu hata kupiga chafya USA itapigwa ichakae na mapambano yote yatakua kwenye ardhi yao huku US tunaangalia kwenye TV tu na miguu juu.
Hawawezi!!!! Ebu waambie walipize tuone!!!!Marekani wamesheheni MIKWARA mbuzi lakini ndondi hawaziwezi!
For the record, Iran sio waarabu ni Persians.Mtu anakufuata kwako ili akupige halafu unaita mikwara mbuzi? Marekani siku zote anataka hasara uipate wewe siyo wewe ndiyo maana anakufuata kwako. Kibaya zaidi Iran yupo peke yake. Marekani + Israel + uingereza
Mafuta hayajawahi kumuacha mwaarabu salama
For the record, Iran sio waarabu ni Persians.
IRAN Hajapata Sababu Yakumpiga US Ijapokua US Kumuua Soleiman Imekua Pigo Sana Kwa IRAN......Haipendezi na si ya kushabikia, lakini ngoja tuone "ubabe" wa Iran! Iran ana kila sababu ya "kumpiga" USA maana USA amemchokoza IRAN kwa kuua "mbabe " wao! Haya Iran uwanja ni wako!
Lini Marekani Kamfata IRAN Mkuu ?!Mtu anakufuata kwako ili akupige halafu unaita mikwara mbuzi? Marekani siku zote anataka hasara uipate wewe siyo wewe ndiyo maana anakufuata kwako. Kibaya zaidi Iran yupo peke yake. Marekani + Israel + uingereza
Mafuta hayajawahi kumuacha mwaarabu salama
Dah.. ...Awe ni persians asiwe ila anachotaka Marekani ni mafuta. Huwezi kupigana vita vya hasara karne 21. Russia na China ni wale wale wanaong'ata na kupuliza. Wanajifanya wema lakini wana mioyo ya mbwa mwitu. China kachukua bandari ya Sri Lanka kwa miaka 100 baada ya Sri Lanka kushindwa kulipa deni kwa China.