flowerss
JF-Expert Member
- Nov 25, 2017
- 640
- 590
Ukijibiwa ndio utafurahi, acha kuwa na mawazo mgandoo. Akili za hivi hata ukiambiwa Trump kashindwa urais utauliza lini you don't go with current issues.Vipi wangapi hapo kwenu wamekufa na corona?
Na hata akisema hakafa mtu kwao is that justification to that Corona? Mpaka leo Ukimwi unaua so nkutajie waliokufa ili uamini upo.Kama una bht ulipo ugonjwa haupo kwa kasi shukuru and stop talking in rubbish