Marekani Yatangaza Vikwazo dhidi ya Iran

JUZI HAUJAONA DOCUMENTS ZAKE ZA NUCLEAR PROGRAM NUSU TANI ZIMEBEBWA NA MOSSAD IRAN AKIWA USIGIZINI,HAKUNA PASIPO FIKIKA! KTKT YA MIOYO YA ADUI ZAO WAO WAPO.

Pia kitu ambacho watu hawajajua,Russia anaweza akawa upande wa Iran japokua ni vigumu kwasababu Iran na Russia wana ideology tofauti dhidi ya Israel,Iran ana amini Israel ni taifa linalopaswa kufutwa kwenye uso wa dunia wakati Russia wanaamini Israel ni taifa special.

Israel haijawai kujiunga na mataifa ya magharibi kuiwekea vikwazo Russia,wanategemea Russia ata reciprocate neutrality katika vita dhidi ya Iran.
Hizo documents inawekana kuwa ni za kweli au sio kweli, coz sio juzi tu ameanza kuzitoa hizo documents, UKIANGALIA KIUNDANI UTAKUTA KUWA US KUIEKEA VIKWAZO IRAN NI SABABU YA IZRAIL, so irzail alifanya na ataendelea kufanya lolote kuhakikisha mbinyo anaupata Iran
ILA IRAN IMEANZA KUEKEWA VIKWAZO VINGI SANA TOKEA KITAMBO TILL NOW
 
Tatizo la marekani na iran,sio kwamba iran anaunga mkono ugaidi,kile ni kisingizio tu,
tatizo ni kuwa iran ni emperial power,kwamaana ina ushawishi wa kujieneza kama tu ilivyokua enzi za Persia empire ilipojitanua mpaka asia,
safari hii iran haijienezi kwa nguvu bali ushawishi wa matendo yao mema kwa nchi majirani mfano iraq,yemen,syria,oman,lebanon etc,
uchaguzi wa jana Beirut unathibitisha hilo,
sasa israel na nchi zingine za kiarabu marafiki na marekani wanaona tishio na kumpressure mmarekani achukue hatua ya regime change,kwahiyo hatua hizi za marekani ni step by step kuelekea regime change,

tangu wiki iliyopitaaskari wa israel hawalali eti wanahofia shambulizi la iran kutokea syria na wametishia kumuua Assad iwapo shambulio la irani litatokea syria,

iran wao wanaendelea na shughuli kama kawaida,wakati israel kishaweka majeshi tayari,hadi Netanyau leo amekatisha ziara yake cyprus eti anarudi nyumbani akihofia iran watashambulia,
kwa ufupi hawa waisrael licha ya kuwa na silaha za nyuklia bado hawajiamini kabisa,
na hii ni kwakuwa wanajua iran ni kubwa inaweza kuabsorb mashambulizzi ya israel,wakati israel ikinyeshewa makombora ya ukweli masaa matano tu hiyo plot inapukutika,
so lets see how the cook crumble hear..vita ipo,ni suala la mda tu sasa
JAMAA NI WAOGA SANA hahahahahaha
 
Middle East anawekwa Saudi na Israel
Huoni mabadiliko anayofanya Saudi, anajiandaa kupewa ufalme. Iran alikuwa kikwazo kikubwa Syria sasa wanambana mbavu ili ajitoe Syria, akitoka Syria, Assad anapigwa gesi inapita kwenda ulaya. Urusi anaumia maana anakosa soko anabakia na China tu.

Wakimbana mbavu Urusi anafuata China

Muwe mnaangalia hata habari
Sio rahisi kama unavyodhani.
 
Hawa jamaa NI WADINI BALAA
kiufupi crusade haikuishaga,bali ilikuwa frozen,watu wa magharibi hawakukubali kuwa wameshindwa na jerusalem ikabaki mikononi mwa waislamu huku wakiupoteza mji wa costantiniple,ilibidi wajipange upya na kubuni mbinu za kisasa za kutumia divide and rule,
kipindi hicho Ottoman empire ndo ikiwa tishio,walitumwa majasusi kutoka magharibi kama akina Lawlence of arabia,akajipenyeza uarabuni na kuanzisha uprising dhidi ya waturuki,huyu jamaa na alishirikiana na watawala wa jordan na saud kuudhofisha utawala wa mturiki japo hawakufanikiwa mpaka mwisho wa vita vy pili vya dunia,
ni hapo ndipo majeshi ya muingereza yaliweza kuingia Jerusalem baada ya kuwashinda waturuki,
miaka miwili baadae wazungu wakaanza kuhamia palestina wakijiita wayahudi,
kipindi hicho ufalme wa saud ambao mfalme wao alikuwa rafiki wa karibu sana na kiongozi wa hawa wayahudi,alitizama kama haoni wakati hawa wazungu wakianzisha taifa la kizungu katikati ya mataifa ya kiarabu,
saud walihakikishiwa usalama na marekani kwa miaka yote mpaka yesu atakayorudi.

Waingereza wakacheza double standard kama vile hawaoni kinachoendelea na mwishowe wakaondoka palestina na kuacha wayahudi wakishika hatamu.
 
UONGO MTUPU NA FULL OF FABRICATION KAMA ZA DICTATOR ERDOGAN WA UTURUKI !

Mji wa Israel ulianzishwa na Mfalme Daudi zaidi Miaka 3000 iliyopita yani miaka 1000 kabla ya Yesu ambapo ni sehemu Ibrahim Isaka na Yakobo walifanya ibada.

Mwaka 586 kabla ya Yesu Wababiloni walilibomoa hekalu la kwanza na wayahudi wakakimbia kujificha lakini wakarudi muda siyo mrefu mwaka 516 kabla ya Yesu.

Miaka 500 baadae yaani mwaka 70 baada ya Yesu Warumi wakalibomoa hekalu la pili la Yerusalem,katika miaka iliyofuata Falme mbali mbali mbali kama Rumi,Byzantine,Persian,Arabs,Seljuks,Cruseders,Ottoman, British na nyingine zimekua zikivamia Yerusalem lakini siyo kufanya Yerusalem kuwa makao makuu yao

Mwaka 985 baada ya Yesu mwandishi maarufu kutoka Uarabuni Muhammad ibn Ahmad Shams al Din al -Muqaddasi aliandika kitabu akilalamika kuwa wayahudi wana idadi kubwa ya watu pale Jerusalem kuliko jamii yoyote.

Mwaka 1864 bado Wayahudi waliendelea kuwa wengi kuliko jamii yoyote pale Yerusalem kama takwimu zilizotolewa na British Consul of Jerusalem(Noel Temple Moore) mwaka 1864 Wayahudi wakiwa 8000,Waislam wa kiarab 4500,na Wakristo 2500.

Wayahudi hata wakiwa uhamishoni au sehemu yoyote duniani,maombi yao na sala zao zilikua zinaonyesha tumaini la kurudi Yerusalem
Waislam na dini yao iliyoanzishwa miaka 1400 iliyopita wakiwa popote walipo duniani hata walioko Yerusalem swala zao na ibada zao wamekua wakitazama Macca.Macca na Medina ni miji mitakatifu kuliko Yerusalem kulingana na uislam.

Yerusalem haijatajwa moja kwa moja kwenye quran wakati biblia imetaja Yeusalem mara 669.

Nini kilitokea mwaka 1967,kwanza kabisa hakukuwa wala halijawai kuwepo taifa au nchi ya Palestina.Mwaka 1948 Jordan iliteka eneo la Yerusalem mashariki na kuikalia kimabavu, kuwafukuza Wayahudi na kubomoa makazi yao,Yerusalem magharibi ikawa ni makao makuu ya Israel huku Jordan makao makuu yake yakiwa ni Aman.Katika ile vita ya siku 6 mwaka 1967 Israel ikaifukuza Jordan na kuunganisha Yerusalem.Hii ndio historia ya ukweli.
 
anamtisha na baada ya kuona hana nguvu kijeshi ka korea kaskazini nd omaana ameamua kuvunja makubaliano ila akimwonyesha uwezo ka wa korea kaskazini lazima ataenda mpigia magoti tu
 
Were you there au ulisoma kama tulivyosoma sisi?
 
...
Yerusalem haijatajwa moja kwa moja kwenye quran wakati biblia imetaja Yeusalem mara 669.
...
Safi sana Mkuu! Niliuliza kwenye ule uzi mwingine kwamba Biblia inataja maneno Israel, Yerusalem, Bethlehem, Yudea, Benjamin, Suleman, Daudi, Ibrahim, Isaka, Yakobo, Samaria, Hekalu la Suleman, n.k. sio chini ya mara elfu 5! Lakini hakuna mahali popote inapotaja neno Islam, Makkah, Madina, n.k. Je, kati ya wayahudi na wale wengine ni akina nani wa muhimu zaidi kwa waamini Biblia kiimani? Labda waarabu weusi watatoa majibu.
 
UONGO MTUPU NA FULL OF FABRICATION KAMA ZA DICTATOR ERDOGAN WA UTURUKI !

Mji wa Israel ulianzishwa na Mfalme Daudi zaidi Miaka 3000 iliyopita yani miaka 1000 kabla ya Yesu ambapo ni sehemu Ibrahim Isaka na Yakobo walifanya ibada.

Mwaka 586 kabla ya Yesu Wababiloni walilibomoa hekalu la kwanza na wayahudi wakakimbia kujificha lakini wakarudi muda siyo mrefu mwaka 516 kabla ya Yesu.

Miaka 500 baadae yaani mwaka 70 baada ya Yesu Warumi wakalibomoa hekalu la pili la Yerusalem,katika miaka iliyofuata Falme mbali mbali mbali kama Rumi,Byzantine,Persian,Arabs,Seljuks,Cruseders,Ottoman, British na nyingine zimekua zikivamia Yerusalem lakini siyo kufanya Yerusalem kuwa makao makuu yao

Mwaka 985 baada ya Yesu mwandishi maarufu kutoka Uarabuni Muhammad ibn Ahmad Shams al Din al -Muqaddasi aliandika kitabu akilalamika kuwa wayahudi wana idadi kubwa ya watu pale Jerusalem kuliko jamii yoyote.

Mwaka 1864 bado Wayahudi waliendelea kuwa wengi kuliko jamii yoyote pale Yerusalem kama takwimu zilizotolewa na British Consul of Jerusalem(Noel Temple Moore) mwaka 1864 Wayahudi wakiwa 8000,Waislam wa kiarab 4500,na Wakristo 2500.

Wayahudi hata wakiwa uhamishoni au sehemu yoyote duniani,maombi yao na sala zao zilikua zinaonyesha tumaini la kurudi Yerusalem
Waislam na dini yao iliyoanzishwa miaka 1400 iliyopita wakiwa popote walipo duniani hata walioko Yerusalem swala zao na ibada zao wamekua wakitazama Macca.Macca na Medina ni miji mitakatifu kuliko Yerusalem kulingana na uislam.

Yerusalem haijatajwa moja kwa moja kwenye quran wakati biblia imetaja Yeusalem mara 669.

Nini kilitokea mwaka 1967,kwanza kabisa hakukuwa wala halijawai kuwepo taifa au nchi ya Palestina.Mwaka 1948 Jordan iliteka eneo la Yerusalem mashariki na kuikalia kimabavu, kuwafukuza Wayahudi na kubomoa makazi yao,Yerusalem magharibi ikawa ni makao makuu ya Israel huku Jordan makao makuu yake yakiwa ni Aman.Katika ile vita ya siku 6 mwaka 1967 Israel ikaifukuza Jordan na kuunganisha Yerusalem.Hii ndio historia ya ukweli.
Wewe unajua[emoji122][emoji122][emoji122][emoji122][emoji122][emoji122][emoji122]
 
Iran kuiwekea vikwazo USA kujibu vikwazo itakavyowekewa .big up Rouhan
 
Hakuna vita hapa,acheni kujisumbua akili,Hata NK tulisema hakuna vita ila hamkusikia mkaendelea na ushabiki wenu ya kuunda sijui vi team uchwara huku JF.Hii vita na waajemi(Iran) itakuwa vita mbaya sana,hakuna upande unaoombea vita hii.
 
Hata Sadaam mlisema hivi hivi kwa kumsikilia yule Comedian Ally Sahaf
 
Back
Top Bottom