Marekani Yatangaza Vikwazo dhidi ya Iran

Marekani Yatangaza Vikwazo dhidi ya Iran

Iran lazima apigwe, kumbuka alichofanya Netanyahu juzi,
Leo nasikia Cilo za mabomu zimefunguliwa na wanajeshi wameitwa kutoka likizo.

Hii vita Marekani atoa hela tu wapiganaji watakuwa Israel, Saudi, UAE, Kuwait, Sudan,

Nikweli licha wamarekani watakua kwenye operation maalum.Mfano miezi minne iliyopita wanajeshi wa Marekani waliweka kambi ya kudumu ndani ya kambi ya jeshi la anga la Israel hivyo nao watashiriki kuwanyoa ma Ayatolla
 
Middle East anawekwa Saudi na Israel
Huoni mabadiliko anayofanya Saudi, anajiandaa kupewa ufalme. Iran alikuwa kikwazo kikubwa Syria sasa wanambana mbavu ili ajitoe Syria, akitoka Syria, Assad anapigwa gesi inapita kwenda ulaya. Urusi anaumia maana anakosa soko anabakia na China tu.

Wakimbana mbavu Urusi anafuata China

Muwe mnaangalia hata habari
 
Nikweli licha wamarekani watakua kwenye operation maalum.Mfano miezi minne iliyopita wanajeshi wa Marekani waliweka kambi ya kudumu ndani ya kambi ya jeshi la anga la Israel hivyo nao watashiriki kuwanyoa ma Ayatolla
Ww UNAWAZA vita wenzako wanawaza kujificha kwenye mahandaki
 
Tehhhhh amezuiwa N. Korea kivipi???? Au ww unaamini mpaka leo kuwa n.Korea hana silaha za nuk au hazalishi???

Jicheke mwenyewe,jiulize kwanini amekubali ku denuclearize nchi yake,kwanini hakufanya hivyo kwenye utawala uliopita?Tena washukuru mzee Bolton hakuwepo,ungekuta kichapo kishatolewa.
 
Jicheke mwenyewe,jiulize kwanini amekubali ku denuclearize nchi yake,kwanini hakufanya hivyo kwenye utawala uliopita?Tena washukuru mzee Bolton hakuwepo,ungekuta kichapo kishatolewa.
UNAJIDANGANYA [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23], HAKUNA TAIFA LOLOTE LENYE NUK MAREKANI AENDE KUINGIA KICHWA KICHWA, KUBWA ATAFANYA VIKWAZO ILA SIO MILITARY ACTION, pia hao n. Korea hawakuanza leo vikwazo, ni kitambo sana, HUYO BABU YENU ATAISHIA VIKWAZO BUT SIO MILITARY ACTION kwa mataifa yenye nuk
 
Afu vita ya kumtoa Iran wafadhiri watakuwa waarabu, Marekani atatoa teknolojia, silaha, ndege na nyenzo ili vita ipiganwe.
Marekani anafanya biashara hapo.

Saudi anataka awe boss sambamba na Israel

Qatar anataka apitishe bomba Syria

Pompeo, Bolton, Trump timu hatari sana

Kwenye hii vita marekani ataingiza billions kutoka kwa Waarabu

NKorea hakuweza kufanya biashara ndo maana hajapigwa kwani SKorea, Japan wote wategemezi tu

Waarabu wana hela na wanataka dominance
 
Vikwazo ni muhimu kwa adui yeyote,awe na nuclear au asiwe nazo,hauamki tuu na kukimbilia kuanza vita bila mkakati mrefu kama gaidi
 
Afu vita ya kumtoa Iran wafadhiri watakuwa waarabu, Marekani atatoa teknolojia, silaha, ndege na nyenzo ili vita ipiganwe.
Marekani anafanya biashara hapo.

Saudi anataka awe boss sambamba na Israel

Qatar anataka apitishe bomba Syria

Pompeo, Bolton, Trump timu hatari sana

Kwenye hii vita marekani ataingiza billions kutoka kwa Waarabu

NKorea hakuweza kufanya biashara ndo maana hajapigwa kwani SKorea, Japan wote wategemezi tu

Waarabu wana hela na wanataka dominance

Good analysis!
 
Mbona Saudia hajawekewe,kuna nchi ngapi za kiislam hazijawekewa,ukikimbilia karata ya udini na akili inaishia hapo,jiongezeni jamani,dunia inabadilika haraka sana sharti tubadilike.
Kama huijui historian ya middle east kaa kimya, ukisoma historia ya falme ya saudia UTAJUA kuwa kwa nn saudia haekewi vikwazo, KILA KITU KINA SABABU. ALAF JIULIZE KWA NN IZRAIL ANAONA ADUI YAKE MKUBWA NI IRAN?? ATAELEWA HIZI NI SABABU ZA KIDINI AU LA???
 
Marekani Imetangaza vikwazo dhidi ya Iran.

Trump amesema kuwa U.S haipo Tayari kulinda makubaliano ya Iran kuhusu Nyuklia badala yake ameiwekea vikwazo Iran pia amesema wakiendelea na program hizo watapata vikwazo ambavyo hawajawahi kuvipata kabla pia ameikashifu serikali ya Iran kuwa inafadhili Ugaidi kama I.S, Alqueeda na makundi mengine pia huku raia wanatabu... nipo live Aljazeera naona Rouhani anaongea ngoja nimsikilize live
Marekani mwisho wao hauko mbali. Hawawezi kucheza michezo hii ya kughiribu akili nyepesi daima. The fall is near
 
Ndio nikakuambia kuwa hapo kubwa ni vikwazo, maanake kama military action wanataka kuchukua ingelikua ZAMANI imeshachukuliwa. VITA SIO RAHISI KAMA MUNAVYOFIKIRIA
 
Kama huijui historian ya middle east kaa kimya, ukisoma historia ya falme ya saudia UTAJUA kuwa kwa nn saudia haekewi vikwazo, KILA KITU KINA SABABU. ALAF JIULIZE KWA NN IZRAIL ANAONA ADUI YAKE MKUBWA NI IRAN?? ATAELEWA HIZI NI SABABU ZA KIDINI AU LA???

RUBISH!Iran anaonewa kwasababu ya Dini je Iran ndio taifa la kiislam peke yake??Hii dini imekupofusha akili.
 
Good analysis!
US anataka uchumi wake ukae sawa na ili afanye hivo lazima wababe wawili wapigane vita kubwa ili yeye auze silaha, mwezi uliopita aliwaambia waarabu kuwa inabidi waanze lipia vita ya Syria na wao waingie kupigana.

Wanaingia kwa kubeba ndege na silaha za Made in USA, lobbyists wa Boeing, Northrop Gruman na makampuni mengine yanatamani vita itokee hata kesho ili wauze ndege na mabomu.

Amerika amepigana vita nyingi na kupoteza hela sasa anataka pigana bila uwepo wa wanajeshi wake...

Israel anatamani hiyo vita hata kesho
 
Back
Top Bottom