Tatizo la marekani na iran,sio kwamba iran anaunga mkono ugaidi,kile ni kisingizio tu,
tatizo ni kuwa iran ni emperial power,kwamaana ina ushawishi wa kujieneza kama tu ilivyokua enzi za Persia empire ilipojitanua mpaka asia,
safari hii iran haijienezi kwa nguvu bali ushawishi wa matendo yao mema kwa nchi majirani mfano iraq,yemen,syria,oman,lebanon etc,
uchaguzi wa jana Beirut unathibitisha hilo,
sasa israel na nchi zingine za kiarabu marafiki na marekani wanaona tishio na kumpressure mmarekani achukue hatua ya regime change,kwahiyo hatua hizi za marekani ni step by step kuelekea regime change,
tangu wiki iliyopitaaskari wa israel hawalali eti wanahofia shambulizi la iran kutokea syria na wametishia kumuua Assad iwapo shambulio la irani litatokea syria,
iran wao wanaendelea na shughuli kama kawaida,wakati israel kishaweka majeshi tayari,hadi Netanyau leo amekatisha ziara yake cyprus eti anarudi nyumbani akihofia iran watashambulia,
kwa ufupi hawa waisrael licha ya kuwa na silaha za nyuklia bado hawajiamini kabisa,
na hii ni kwakuwa wanajua iran ni kubwa inaweza kuabsorb mashambulizzi ya israel,wakati israel ikinyeshewa makombora ya ukweli masaa matano tu hiyo plot inapukutika,
so lets see how the cook crumble hear..vita ipo,ni suala la mda tu sasa