BlackPanther
JF-Expert Member
- Nov 25, 2015
- 9,554
- 9,238
Wabongo bwana,, hawawezi comments bila kuingiza udini!! Dah 😀😀😀😀
Nampongeza sana Trump kwa ujasiri mkuu,wakuiondoa US kwenye hii Iran nuclear deal,ilikua ni ujinga kufanya mapatano na mtu anayepiga kelele akitangaza kifo chako na kifo kwa ndugu zako.
Huu sio wakati wa nyoronyoro Obama,bali ni wakati wa kutenda.Akitoka Iran anafuata Uturuki.
Naona watawanyoa zile ndevu kwa moto
Fundi25 [emoji104] [emoji104]Mkuu huo ndio ugojwa mkubwa kuliko kansa tulio pandikiziwa!
Hatuwezi sogea tumesha kwamishwa tuna msubiri yesu Arudi na siku ya kiama!!!
Kweli walituweza wa Africa !!
Yani nikifuatilia hizi Comments tangu jana. Naishia kucheka tuu.Mkuu unatumia vigezo gani kuifananisha Iran na Iraq!!?
Mbona Marekani kashindwa kuipiga North Korea licha ya kupeleka majahazi yake...Natumia hivyo hivyo mnavyodai kuwa Marekani haiwezi kuipiga Iran. Kama Iran ilimshindwa Iraq kwenye Vita vyao vya miaka8 na Marekani akampa kichapo Iraq ndani ya wiki3 sijui Iran akipiga na Marekani atakuwa katika hali gani.
Kuwa na maneno mengi nako ni kipaji mkuu, au hujui...?Naona unajifanya una maneno mengi kama Manara.
Fundi25 nasema hivi hapo hakuna vita kabisa, vita iliyopo ni ya kiuchumi tuu.Hahahaha kiduku tusubiri upepo utabadilika kwenye meza ya mazungumzo!
Hapa kwa Iran nina kuunga mkono vita haita kuwepo labda vikwazo kwanza viwapunguze kwanza nguvu!
baadae wanaweza pigika ila kupigwa kwa sasa hivi taifa teule litapata taabu sana! na ndugu zao Saudi Arabia!
Akina Al Saaf wamukuwa wengi sanaFundi25 nasema hivi hapo hakuna vita kabisa, vita iliyopo ni ya kiuchumi tuu.
Na laiti Iran ikishambuliwa hapo Mashariki ya kati itakuwa vumbi tuu na Israel itabaki jina
Hahahahaha kama manara sio!Kuwa na maneno mengi nako ni kipaji mkuu, au hujui...?
Sawa tupo wengi mkuu,Akina Al Saaf wamukuwa wengi sana
Kabiaaaaaa...[emoji104] [emoji104]Hahahahaha kama manara sio!
Hahahahaha vip jiwe ana mpango wa kurutubisha uranium nini!?Kabiaaaaaa...[emoji104] [emoji104]
Japo jiwe nalo linajitahidi mkuu [emoji104]
Mkuu Usiombe hiyo kitu, maana Dunia ina mjua jinsi alivyo.Hahahahaha vip jiwe ana mpango wa kurutubisha uranium nini!?
Wacha kutulisha matango pori ww,Hizi ni ndoto za alnacha mkuu.Iraq na Saddam walikuwa vizuri kuliko Iran Leo wako wapi?
Hiyo aibadilishi maana kuwa waisrael ni wavamizi kwao ni Mesopotamia sasa cha ajabu anapiga na honiUONGO MTUPU NA FULL OF FABRICATION KAMA ZA DICTATOR ERDOGAN WA UTURUKI !
Mji wa Israel ulianzishwa na Mfalme Daudi zaidi Miaka 3000 iliyopita yani miaka 1000 kabla ya Yesu ambapo ni sehemu Ibrahim Isaka na Yakobo walifanya ibada.
Mwaka 586 kabla ya Yesu Wababiloni walilibomoa hekalu la kwanza na wayahudi wakakimbia kujificha lakini wakarudi muda siyo mrefu mwaka 516 kabla ya Yesu.
Miaka 500 baadae yaani mwaka 70 baada ya Yesu Warumi wakalibomoa hekalu la pili la Yerusalem,katika miaka iliyofuata Falme mbali mbali mbali kama Rumi,Byzantine,Persian,Arabs,Seljuks,Cruseders,Ottoman, British na nyingine zimekua zikivamia Yerusalem lakini siyo kufanya Yerusalem kuwa makao makuu yao
Mwaka 985 baada ya Yesu mwandishi maarufu kutoka Uarabuni Muhammad ibn Ahmad Shams al Din al -Muqaddasi aliandika kitabu akilalamika kuwa wayahudi wana idadi kubwa ya watu pale Jerusalem kuliko jamii yoyote.
Mwaka 1864 bado Wayahudi waliendelea kuwa wengi kuliko jamii yoyote pale Yerusalem kama takwimu zilizotolewa na British Consul of Jerusalem(Noel Temple Moore) mwaka 1864 Wayahudi wakiwa 8000,Waislam wa kiarab 4500,na Wakristo 2500.
Wayahudi hata wakiwa uhamishoni au sehemu yoyote duniani,maombi yao na sala zao zilikua zinaonyesha tumaini la kurudi Yerusalem
Waislam na dini yao iliyoanzishwa miaka 1400 iliyopita wakiwa popote walipo duniani hata walioko Yerusalem swala zao na ibada zao wamekua wakitazama Macca.Macca na Medina ni miji mitakatifu kuliko Yerusalem kulingana na uislam.
Yerusalem haijatajwa moja kwa moja kwenye quran wakati biblia imetaja Yeusalem mara 669.
Nini kilitokea mwaka 1967,kwanza kabisa hakukuwa wala halijawai kuwepo taifa au nchi ya Palestina.Mwaka 1948 Jordan iliteka eneo la Yerusalem mashariki na kuikalia kimabavu, kuwafukuza Wayahudi na kubomoa makazi yao,Yerusalem magharibi ikawa ni makao makuu ya Israel huku Jordan makao makuu yake yakiwa ni Aman.Katika ile vita ya siku 6 mwaka 1967 Israel ikaifukuza Jordan na kuunganisha Yerusalem.Hii ndio historia ya ukweli.
Khanith nini? Amka bongo lalaSafi sana Trump. Wafuga magaidi hawana nafasi zama hizi.