Marekani yaruhusu Ukraine kupewa Ndege Vita

Marekani yaruhusu Ukraine kupewa Ndege Vita

Rais wa Marekani, Joseph Biden akiwa Japan kwenye mkutano wa G7 amesema ametoa ruhusa na atashirikiana na nchi zingine kuwafundisha Marubani wa Ukraine matumizi ya ndege vita aina ya F16.

Hapo jana Pentagon ilisema kuwa wanajeshi wa Ukraine walioenda kwa ajili ya mapitio juu ya uwezo wa kuongoza ndege hizo wanaweza fanikiwa kwa miezi 4 ambayo ni tofauti na miezi 18 kwa wanajeshi wengine.

Hivyo basi baada ya tamko na ruhusa hiyo, nchi za Netherlands, Norway watatoa ndege na mafunzo kwa wanajeshi anga wa Ukraine.
Inakadiriwa Ukraine watapewa ndege 50
Us ye anapeleka ngapi?
 
Huwezi toa tech isiyo yako bila ruhusa ya mtengenezaji
Zile Mig Poland walizotoa waliomba ruhusa wapi? Mbona unatufanya mazuzu saaana! We sema tu Ukraine anapigana proxy war ya US,
 
Ni kweli hata urusi angekuwa hana ulinzi drone ya Ukraine ilikuwa ipige ikulu ya kremlin
Boss, mbona haya mambo yapo wazi sana. Sakata la drone nalo ni la kujadili kweli?

Anyways, hoja yako ni kuwa Ukraine anaishambulia moscow kwa makombora ila anafeli?
 
Na yasemekana watu tayari washafundishwa
Hizo ndege za marekani ndiyo kichekesho kikubwa sana kuliko vyote kwenye hii vita [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] drone za marekani ni hatari kuliko hizo ndege ila kwa sasa zimegeuzwa 0
 
Rais wa Marekani, Joseph Biden akiwa Japan kwenye mkutano wa G7 amesema ametoa ruhusa na atashirikiana na nchi zingine kuwafundisha Marubani wa Ukraine matumizi ya ndege vita aina ya F16.

Hapo jana Pentagon ilisema kuwa wanajeshi wa Ukraine walioenda kwa ajili ya mapitio juu ya uwezo wa kuongoza ndege hizo wanaweza fanikiwa kwa miezi 4 ambayo ni tofauti na miezi 18 kwa wanajeshi wengine.

Hivyo basi baada ya tamko na ruhusa hiyo, nchi za Netherlands, Norway watatoa ndege na mafunzo kwa wanajeshi anga wa Ukraine.
Inakadiriwa Ukraine watapewa ndege 50
Badala ya kuzungumzia amani wanazungumzia majaribio ya silaha zao
 
Hivi hizo F-16 kasi yake zinashindwa hata 1950s MiG-21 ndio zinaweza ku-survive Russian formidable air defense systemsin Ukraine, zi-survive Russian AAM yenye range ya 400KM fire and forget ndege nyingi za Ukraine zimemalizwa na AAM hii hatandege nyingine za Amerika zikitia pua pale zimalizwa na hiyo AAM ambayo huna ulazima wa kujua adui yako yupo upande upe na range gani - hapo hatujazungumzia MiG-31 na S-300/400 pamoja na S-550 ADS integrated air defense system.

Warusi waliwekeza sana kwenye air defense system - a very sensibles decisions in my opinions-yakija masuala ya air combat and defense - Russians are obviously light years ahead of western counterpart.
Maneno yote hayo Kyiv waliikimbia kama vichaa.
 
Je hizo ndio ndege Bora kwao

Kwanini asiwaoe na zile B-2 SPIRIT BOMBER.

Maana yake hizo ndege ni OUTDATED version.

Marekani anatengeneza biashara ya mauzo ya ndege kwa na silaha kwa mgongo wa vita.

Hao watakaompa Ukraine ndege maana yake watalazimika kununua zingine ambazo marekeni anaona hazina umuhimu tena maana amepata technology mpya.

Hizo ndege zitaenda angushwa zote sidhani kama itakuwa suluhusho la Vita.

Suluhisho pekee ni kukaa mezani na kuyamaliza hoja za Russia kuhusu uanachama wa Ukraine ziskilizwe
 
Washaamua liwalo na liwe.

Hatimaye Marekani kapata sehemu sahihi ya kumuadhibu Urusi

Syria wameshindwana
Libya haikuwezekana


Sasa wamekutana
Syria na huko Libya asingeweza kutoa ndege zake kumpa mwarabu afanyie mashambulizi hawaaminiki sn wale,

Sasa hiv amepata mtu sahihi wa kumpa zana zake za kivita.
 
Boss, mbona haya mambo yapo wazi sana. Sakata la drone nalo ni la kujadili kweli?

Anyways, hoja yako ni kuwa Ukraine anaishambulia moscow kwa makombora ila anafeli?
Kumbe jibu unalo. Na hatafaulu nasikia anapewa ndege 50 za kuishambulia urusi ila I predict massively attacking from Moscow. Hao wanaompa ndege hawamsaidii ila wanamuingiza kwenye mgogoro zaidi.
 
Kuna kundi la wanajeshi wa zamani wa Marekani wamejitolea kuendesha hizo ndege ndani ya Ukraine.
toka mwanzo nato wamekuwepo ukraine, wanajeshi wa ukraine walishapotea, saizi ule ni uwanja kati ya nato na russia,.....

acha waendelee, atakayechoka atanyoosha mikono juu
 
Kuna jamaa hapa tulikuwa tunazozana nikauliza ni lini US alikubali na kisha amekataa kutoa ndege? Maelezo yakawa na bla bla nyingi nikaamua kusave time kufanya ishu zingine.

Mkuu Kichakoro njoo uzungumze kuhusu hili.
 
Je hizo ndio ndege Bora kwao

Kwanini asiwaoe na zile B-2 SPIRIT BOMBER.

Maana yake hizo ndege ni OUTDATED version.

Marekani anatengeneza biashara ya mauzo ya ndege kwa na silaha kwa mgongo wa vita.

Hao watakaompa Ukraine ndege maana yake watalazimika kununua zingine ambazo marekeni anaona hazina umuhimu tena maana amepata technology mpya.

Hizo ndege zitaenda angushwa zote sidhani kama itakuwa suluhusho la Vita.

Suluhisho pekee ni kukaa mezani na kuyamaliza hoja za Russia kuhusu uanachama wa Ukraine ziskilizwe
Hakuna suluhu ya kukaa mezani kwa kuachia maeneo ya Ukraine yachukuliwe na Russia
 
Siraha nyingi zimepelekwa Ukraine zikibeba Majina makubwa mitandaoni lakini sijaona Kama zimefua dafu. Zitakaa wapi hizo F16 Mamluki wa Urusi wamejaa ktk Jeshi la Ukraine. Ziko wapi Air defence za Patriot, ni scraper zauzwa mitandaoni. Wakati huu tunakwenda kujua mbichi na mbivu.
 
Kumbe jibu unalo. Na hatafaulu nasikia anapewa ndege 50 za kuishambulia urusi ila I predict massively attacking from Moscow. Hao wanaompa ndege hawamsaidii ila wanamuingiza kwenye mgogoro zaidi.
Halikuwa jibu, lilikuwa swali ili kukuelewa hoja zako zinalenga nini. Okey nimeshakuelewa.
 
Back
Top Bottom