Marekani yaruhusu Ukraine kupewa Ndege Vita

Marekani yaruhusu Ukraine kupewa Ndege Vita

HIMARS

JF-Expert Member
Joined
Jan 23, 2012
Posts
73,320
Reaction score
103,587
Rais wa Marekani, Joseph Biden akiwa Japan kwenye mkutano wa G7 amesema ametoa ruhusa na atashirikiana na nchi zingine kuwafundisha Marubani wa Ukraine matumizi ya ndege vita aina ya F16.

Hapo jana Pentagon ilisema kuwa wanajeshi wa Ukraine walioenda kwa ajili ya mapitio juu ya uwezo wa kuongoza ndege hizo wanaweza fanikiwa kwa miezi 4 ambayo ni tofauti na miezi 18 kwa wanajeshi wengine.

Hivyo basi baada ya tamko na ruhusa hiyo, nchi za Netherlands, Norway watatoa ndege na mafunzo kwa wanajeshi anga wa Ukraine.
Inakadiriwa Ukraine watapewa ndege 50
 
Eh! KUMEKUCHA
img_1_1683957311068.jpg
 
Hivi hizo F-16 kasi yake zinashindwa hata 1950s MiG-21 ndio zinaweza ku-survive Russian formidable air defense systemsin Ukraine, zi-survive Russian AAM yenye range ya 400KM fire and forget ndege nyingi za Ukraine zimemalizwa na AAM hii hatandege nyingine za Amerika zikitia pua pale zimalizwa na hiyo AAM ambayo huna ulazima wa kujua adui yako yupo upande upe na range gani - hapo hatujazungumzia MiG-31 na S-300/400 pamoja na S-550 ADS integrated air defense system.

Warusi waliwekeza sana kwenye air defense system - a very sensibles decisions in my opinions-yakija masuala ya air combat and defense - Russians are obviously light years ahead of western counterpart.
 
Back
Top Bottom