Kwavile ww ni mjinga bado utasema ukraine ni wakorofi wkt ushajijibu kuwa ukraine hawajagusa moscow wanapigan kuitoa urusi ndan ya ardhi yaketangu vita ianze nasikia tu ukrain wanapewa silaha.cha ajabu moscow ipo salama.
Kwavile ww ni mjinga bado utasema ukraine ni wakorofi wkt ushajijibu kuwa ukraine hawajagusa moscow wanapigan kuitoa urusi ndan ya ardhi yaketangu vita ianze nasikia tu ukrain wanapewa silaha.cha ajabu moscow ipo salama.
Na Urusi anasubiri hicho kitokee ili Nagasaki na Hiroshima mpya zitokeeUkraine hapewi silaha kuipiga moscow. Ndo maana unaona silaha zinazoweza kupiga mbali zinachukua mda kuidhinishwa kumpa. Nadhani Sababu ni asije akaamua kuzitumia kupiga ndani ya Urusi.
Kwavile ww ni mjinga bado utasema ukraine ni wakorofi wkt ushajijibu kuwa ukraine hawajagusa moscow wanapigan kuitoa urusi ndan ya ardhi yake
[/QUOTEumeshajiuliza kwanini marekani anabeba bango kuitetea ukraine?
ukipigana vita nyumbani kwako utakayeumia ni wewe.ukiruhusu mpira ukae sana golini kwako utakufa nyingi tuUkraine hapewi silaha kuipiga moscow. Ndo maana unaona silaha zinazoweza kupiga mbali zinachukua mda kuidhinishwa kumpa. Nadhani Sababu ni asije akaamua kuzitumia kupiga ndani ya Urusi.
Hizo systems ziko ndani ya Ukraine? kumbuka wao watatumia ndege hizo kujilinda dhidi ya uvamizi na sio kuingia ndani ya Russia kupambana.Hivi hizo F-16 kasi yake zinashindwa hata 1950s MiG-21 ndio zinaweza ku-survive Russian formidable air defense systemsin Ukraine, zi-survive Russian AAM yenye range ya 400KM fire and forget ndege nyingi za Ukraine zimemalizwa na AAM hii hatandege nyingine za Amerika zikitia pua pale zimalizwa na hiyo AAM ambayo huna ulazima wa kujua adui yako yupo upande upe na range gani - hapo hatujazungumzia MiG-31 na S-300/400 pamoja na S-550 ADS integrated air defense system.
Warusi waliwekeza sana kwenye air defense system - a very sensibles decisions in my opinions-yakija masuala ya air combat and defense - Russians are obviously light years ahead of western counterpart.
Marehemu watarajiwa hao..Kuna kundi la wanajeshi wa zamani wa Marekani wamejitolea kuendesha hizo ndege ndani ya Ukraine.
Kwahiyo anapewa silaha kumpiga nani sasa? Akili za watu wengine banaUkraine hapewi silaha kuipiga moscow. Ndo maana unaona silaha zinazoweza kupiga mbali zinachukua mda kuidhinishwa kumpa. Nadhani Sababu ni asije akaamua kuzitumia kupiga ndani ya Urusi.
Kuna kundi la wanajeshi wa zamani wa Marekani wamejitolea kuendesha hizo ndege ndani ya Ukraine.
Sawa sawaWanasema sehemu kubwa ya vita hupiganwa nyuma ya pazia...
Atamwadhibu kwa lipi...hzo f16 50 au kuna lingine..??...yaani ktk hii vita Wazungu nimewaona nao ni kama ngozi nyeusi tu ktk kufikiri wanachotuzidi Mungu aliwapendelea maarifa yakaanzia kwao...lakini ni bure kabisa nao...!!!...hv kwa nguvu ya Jeshi la Urusi.. hzo f16 zitasaidia nn..?.. hata wangepewa 100...nn kitaenda kubadilika..??...yaani mpaka hapa hakuna namna yoyote ya wao kushinda hii vita...ni kupoteza roho za askari tu buree yaani...!!!...na kwa jinsi Russia anavyopata wakati mgumu wa kudeal na issues kama hz ndio huko mbeleni itakuwa ngumu sana kusuluhisha huu ugomvi....!!! ngoja tuona akili za mzungu wa West na East...nani atakaeshinda hii vita..!!!Washaamua liwalo na liwe.
Hatimaye Marekani kapata sehemu sahihi ya kumuadhibu Urusi
Syria wameshindwana
Libya haikuwezekana
Sasa wamekutana
Hali ni mbaya kwa NATO na Ukraine counteroffensive imefeliRais wa Marekani, Joseph Biden akiwa Japan kwenye mkutano wa G7 amesema ametoa ruhusa na atashirikiana na nchi zingine kuwafundisha Marubani wa Ukraine matumizi ya ndege vita aina ya F16.
Hapo jana Pentagon ilisema kuwa wanajeshi wa Ukraine walioenda kwa ajili ya mapitio juu ya uwezo wa kuongoza ndege hizo wanaweza fanikiwa kwa miezi 4 ambayo ni tofauti na miezi 18 kwa wanajeshi wengine.
Hivyo basi baada ya tamko na ruhusa hiyo, nchi za Netherlands, Norway watatoa ndege na mafunzo kwa wanajeshi anga wa Ukraine.
Inakadiriwa Ukraine watapewa ndege 50
Hakuna cha uvamizi wala nini siju, mabeberu ndio walikuwa wameweka mikakati kabambe kwa kutaka kuitumia Ukraine militaty and some NATO troops ili kushambulia by all means kusini mashariki mwa Ukraine, Crimea, Sevaspotol possibly na Russian Federation - baadae waje kupenyeza magaigi ili waweze kuanzisha masula ya ugaidi kama walivyo fanya nchini Syria.Hizo systems ziko ndani ya Ukraine? kumbuka wao watatumia ndege hizo kujilinda dhidi ya uvamizi na sio kuingia ndani ya Russia kupambana.
Mkuu, sasa kama huko kote mipango yake ilibuma kitu gani kinatupa imani kwamba wenda ikiwa this time around atafanikiwa nchini Ukraine, wakati hata Patriot ADS yake imekwisha tiwa. kiberiti na taifa linao wazidi kete kwenye masiala ya silaha.Washaamua liwalo na liwe.
Hatimaye Marekani kapata sehemu sahihi ya kumuadhibu Urusi
Syria wameshindwana
Libya haikuwezekana
Sasa wamekutana
Kuipiga urusi moja kwa moja siyo lengo la Zele, USA wala NATO kwa sasa. Zele anafanya kudefend territor na silaha anazopewa zina masharti hayo akipiga basi ts just to destroy military targets, ammunition warehouses, fuel depots sio direct attack on cities kama anavyofanya Urusi.ukipigana vita nyumbani kwako utakayeumia ni wewe.ukiruhusu mpira ukae sana golini kwako utakufa nyingi tu
Kwahiyo anapewa silaha kumpiga nani sasa? Akili za watu wengine bana
Mwisho wa defend ni defeat.hao jamaa hawana nia ya kumsidia ukraine.yaani wa ukraine wafe warus wawe salama.nakupa silaha na bado nakupa na masharti faida ya kupewa silaha ni nini wakati hazikusaidii?Kuipiga urusi moja kwa moja siyo lengo la Zele, USA wala NATO kwa sasa. Zele anafanya kudefend territor na silaha anazopewa zina masharti hayo akipiga basi ts just to destroy military targets, ammunition warehouses, fuel depots sio direct attack on cities kama anavyofanya Urusi.
Itakuwa hufuatilii vizuri, Ukraine anapewa silaha za masafa mafupi na sharti lingine hapaswi kuzitumia kufanya shambulizi ndani ya Urusi.tangu vita ianze nasikia tu ukrain wanapewa silaha.cha ajabu moscow ipo salama.