MAREKANI YADAI kuchunguza ripoti za mateso za mwanaharakati wa Kenya Boniface Mwangi na Agather Atuhaire wa Uganda nchini Tanzania; inataka uchunguzi

MAREKANI YADAI kuchunguza ripoti za mateso za mwanaharakati wa Kenya Boniface Mwangi na Agather Atuhaire wa Uganda nchini Tanzania; inataka uchunguzi

Nyasi-Man

JF-Expert Member
Joined
Sep 3, 2023
Posts
928
Reaction score
2,053
FB_IMG_1748080495330.jpg

https://nation.africa/kenya/news/af...YcN4gL5jg93slqRle4_aem_Z13cOlvjRQOfJnicy5KMJg
 
Kwanza wanarekani watoe faili la Patrice Lumumba walivyo mtesa kikatili, kumuua na kumdumbukiza kwenye pipa la tindikali mpaka mifupa ika potea.
Kenge Hawa kazi yao ni kuangamiza nchi za watu tu
 
Hakika, huu ndio wakati sahihi. Mungu wetu hachelewi na wala hakawii, bali huyajibu maombi ya wenye kudhulumiwa kwa wakati na kwa namna iliyo sahihi.

Mawakala wa shetani, wanaodhulumu haki za watanzania, wajiandae na wakae vizuri.

Na bado ICC, wataalam wanazidi kuandaa nyaraka, ukifika wakti sahihi, mtasikia:

1, 2, 3, 4, na 5, wakamatwe kwenda mahakama ya ICC kujibu mashtaka. Kwa mara ya kwanza, hata wale mapunguani chawa, wakiongozwa na Mwashambwa na Tlaatlah watabubujikwa na machozi.
 
Kwanza wanarekani watoe faili la Patrice Lumumba walivyo mtesa kikatili, kumuua na kumdumbukiza kwenye pipa la tindikali mpaka mifupa ika potea.
Kenge Hawa kazi yao ni kuangamiza nchi za watu tu

Usiwe unaropoka mambo usiyokuwa na uhakika nayo. Marekani inatajwa kwenye kifo cha Lumumba ni kwa sababu ilikuwa upande West block, na kuna wakati CIA inatajwa kupanga mipango ya kumwua, lakini hawakulitekeleza jambo hilo. Lumumba alipinduliwa na Mobutu kwa msaada wa wabelgiji. Alifungwa jela, na baadaye Serikali ya Mobutu ilimwua. Hakuuawa kwa siri, hivyo wote wenye uelewa wanafahamu ni nani allimwua Lumumba, aliaa linni na kwa namna gani.

Soma hii taarifa, ili siku nyingine usiropoke.

The CIA plotted to assassinate Lumumba before his death, but the plan was abandined. After a coup iin 1961, Lumumba was arrested, imprisoned, and killed by Belgian and Congolese forces.
Lumumba was executed by a firing squad on January 17, 1961.

immediately after independence, the new government was faced with an army mutiny, which was soon followed by the secession of the strategic mineral-rich province of Katanga, led by Moise Tshombe, another Congolese leader who disagreed with Lumumba’s politics. Belgium sent troops, ostensibly to protect Belgian nationals in Congo throughout the unrest, but the Belgian troops landed principally in Katanga, where they sustained Tshombe’s secessionist regime as well as secured access to its mineral resources. The government appealed to the United Nations (UN) for assistance, and, although peacekeeping troops were sent to Congo, they did not intervene in Katanga.

Kasavubu dismissed Lumumba from the prime ministership on September 5, although Lumumba contested it and in turn declared Kasavubu to be deposed, leading to two parallel governments for a time. This led to a military intervention on September 14, which was headed by Congolese Col. Joseph Mobutu (later known as Mobutu Sese Seko), who supported Kasavubu’s effort to keep Lumumba sidelined. Lumumba was placed under house arrest, though he managed to escape and attempted to reach another part of the country where he had greater support. He was, however, captured by Mobutu’s forces in early December and then detained at a military camp in Thysville. Lumumba’s enemies feared that the camp was not secure enough to hold him and ordered that he be moved. On January 17, 1961, Lumumba and two associates (Joseph Okito and Maurice Mpolo) were transferred via airplane to Katanga, the stronghold of his political enemy, Tshombe. He and his companions were beaten by soldiers during the flight. Once in Katanga, they were taken to a private villa, where they were subject to more beatings by both Belgian and Congolese forces, and met with Tshombe and other Katangan officials. Lumumba and his associates were then executed by a Katangan firing squad, under Belgian supervision, and in the presence of Katangan and Belgian officials and officers. The bodies were then thrown into shallow graves. A Katangan government official later ordered that the bodies disappear. At that point, a Belgian police officer led a group that searched for the graves, dug up the bodies, hacked them to pieces, and dissolved as much of the body parts as they could in sulphuric acid. Anything that remained was set on fire.
 
Kwanza wanarekani watoe faili la Patrice Lumumba walivyo mtesa kikatili, kumuua na kumdumbukiza kwenye pipa la tindikali mpaka mifupa ika potea.
Kenge Hawa kazi yao ni kuangamiza nchi za watu tu
Mkuu, bila Wakongomani kuhusika unadhani Patrice angeuawa?

Bila Walibya kukubali kutumiwa, Qadafi angemalizwa?

Adui wa taifa letu ni sisi wenyewe. Wazungu wanasingiziwa tu.
 
Mkuu, bila Wakongomani kuhusika unadhani Patrice angeuawa?

Bila Walibya kukubali kutumiwa, Qadafi angemalizwa?

Adui wa taifa letu ni sisi wenyewe. Wazungu wanasingiziwa tu.
Yaani umkamate Mdude umuue, watu wapige kelele then ukawaue; mataifa ya nje yakiingilia kati kuwasaidia wananchi wasiyokuwa na rungu wala manati then useme kuwa unaingiliwa ila unataka uachwe uwaue wote wenye mikono mitupu kwa bunduki.
Ubinadamu kazi sana.
 
Kwanza wanarekani watoe faili la Patrice Lumumba walivyo mtesa kikatili, kumuua na kumdumbukiza kwenye pipa la tindikali mpaka mifupa ika potea.
Kenge Hawa kazi yao ni kuangamiza nchi za watu tu
Baada hii utapeleka request yako, tuanze na ili la karibuni
 
Kwanza wanarekani watoe faili la Patrice Lumumba walivyo mtesa kikatili, kumuua na kumdumbukiza kwenye pipa la tindikali mpaka mifupa ika potea.
Kenge Hawa kazi yao ni kuangamiza nchi za watu tu
Ushahidi huna hizo ni stori za nilisikia tu.
 
Yaani umkamate Mdude umuue, watu wapige kelele then ukawaue; mataifa ya nje yakiingilia kati kuwasaidia wananchi wasiyokuwa na rungu wala manati then useme kuwa unaingiliwa ila unataka uachwe uwaue wote wenye mikono mitupu kwa bunduki.
Ubinadamu kazi sana.
Imagine, kiukweli huyu Mama analiabisha sana taifa letu.
 
Back
Top Bottom