Marekani: Waliobadili jinsia waondolewa marufuku ya kujiunga na Jeshi iliyowekwa na Donald Trump

Haoa jibu liko wazi, aliyekuwa sahihi ni TRUMP. Tena kwa mtu nwenye mamlaka alitakiwa aende mbali zaidi,wanaotoa hizo huduma wauliwe na waliofanyiwa pia wauliwe.
Hapo Penye kuwaua hapana aisee! Itafutwe adhabu nyingine hata kuwafunga jera na kuwawekea vikwazo mbalimbali lakini siyo kuwaua !
Msipende sana mambo ya kukimbilia kuua watu.

Mungu aliyewaumba kwa nini asiwaue yeye na uwezo anao?

Tujifunze kuhurumiana na kusameheana!
 
Ni ujinga sana kuingiza jeshini mashoga. Huwezi kuwa na jeshi lenye mafanikio ukiwa na mashoga wa kutosha katika jeshi.
Hakuna mafanikio yoyote ya maana kwenye nchi, taasisi, asasi, shirika, familia, kikundi, jamii, ama familia inayotukuza ama kuwatetea mashoga na wasagaji.Binadamu hasa never before been less than aniamals like the times in which we live now.
 
Waache waje nao ni binadam hatuwahukumu kwa ushoga wao sisi sio Mungu, tunawatathmini kwa ushiriki wao wa nguvukazu na rasilimali watu katika utendaji kazi jeshini. Mbona bongo huku maofisini mapunga kibao tu lakini hatukuti mavi ukutani, wanafanya yale yaliyo ndani ya mikataba yao ya kazi tu.
Unasema ^hatuwahukumu^!??? Hivi ukimwona jirani yako anaenda na kuenenda ndivyo sivyo, si wajibu & jukumu lako kumkanya, ewe unayewaza kwa kutumia mifupa!???
 
Trump alikuwa best president ever ambaye hajawahi tokea, lakin watu hawakutaka muelewa sera zake kwanza "american first",alipambana na chochote kitakacho zuia marekani kufika lengo lake, na pia alikuwa anapambana na magaidi wa dunia kuonbesha kwamba marekani ni taifa kubwa na lina uwezo wa kupata chochote wanachoitaji..lakin watu walishidwa kumuelew, hasa mashoga walio wengi USA..(biden=obama) .
You have said it so very well. Pls earn my respect.
 
Jamani kuna wakati inabidi muache ujuaji. Mjifunze kuwa watazamaji tu ili muendelee kujifunza zaidi....
Wewe ndiwe mjuaji kinomanoma. Hao jamaa zako ni walewale -- nimino yao ni MASHOGA & WASAGAJI. Mengine hayo uyasemayo ni variants tu sawa na variants wa korona ya South Africa. Umenisikia, au niongeze volume!???
 
Mkuu ni wazi hata wewe haya mambo hauyajui vizuri ingawa unawaambia wenzako waache ujuaji,

Kifupi ni hivi,hao Transgenders (trannies,shemales) ni MASHOGA tu ingawa wao wamekwenda mbali zaidi kwa kujipandikiza maziwa,makalio makubwa (some of them) na make up kwa sana kiasi kwa nje wanaonekana kama wanawake !!
Excellent, thanks
 
Nchi yetu haisapoti mapenzi ya jinsia moja.

Usa inasapoti.

Uk inasapoti.

Canada pia.

Je sisi ni superior kijeshi kwa yeyote kati ya hao watatu?
Siyo lazima uwe superb kijeshi, unaweza kuchagua kuwa superior kwa kitu kingine na kuwa utambulisho wako.
 
Sijui kwanini huwa simkubali Joe, huwa haniingii akilini tu. Yet he calls himself a Catholic
He is too much into their political agenda; he cares nothing he says provided it serves their course. To them, ^the end justifies the means^
 
  • Thanks
Reactions: Pep
Siyo lazima uwe superb kijeshi, unaweza kuchagua kuwa superior kwa kitu kingine na kuwa utambulisho wako.
Superiority yao wanapima kwa idadi ya nchi ambazo wamezisailens kibabe; sisi superiority yetu tunaipima kwa nchi ambazo tumedumisha nao amani diplomatikali.
 
Hapo Penye kuwaua hapana aisee! Itafutwe adhabu nyingine hata kuwafunga jera na kuwawekea vikwazo mbalimbali lakini siyo kuwaua !
Msipende sana mambo ya kukimbilia kuua watu.
Mungu aliyewaumba kwa nini asiwaue yeye na uwezo anao?!
Tujifunze kuhurumiana na kusameheana!
Mwisho wa siku, binadamu kila mtu ana matatizo yake.

Ila kuua ni ushetani uliokubuhu,ndio maana mimi nachukia wauaji kuliko hao mashoga.

Ukishaua ua tayari, he/she's gone.

Mambo ya mauaji tumwachie Mungu mwenyewe.
 
Sijui kwanini huwa simkubali Joe, huwa haniingii akilini tu. Yet he calls himself a Catholic 🚮
Issue siyo Joe. Hiyo ni sera ya Democratic. To let people live as they wish.

Democratic huwezi kuwaepuka kama wewe ni Mhamiaji, minority, Globalist, Kwasababu siku zote ndio watetezi wako.

America is the land of the free.

Ni nchi ambayo wamejaa watu waliokimbia udikteta, mauaji, vita, njaa, unyanyasaji na kutothaminiwa.

Na marekani itaendelea kuwa juu, Kwasababu inachukua watu wote wenye akili inahamishia kwao.

Elon Musk ametokea South Africa, Jeff Bezos, Cuba, Zoom founder, China etc
 
Rais Joe Biden ameondoa marufuku iliyowekwa na Donald Trump ya kuwapiga marufuku watu waliobadili jinsia kujiunga na jeshi.
Marufuku hiyo ilitangazwa na Bw. Trump mwaka wake wa kwanza akiwa rais wa Marekani.

''Watumishi waliobadili jinsia hawatakabiliwa na uwezekano wa kuondolewa au kutengwa kwa misingi ya utambulisho wao kijinsia,'' Ilisema ikulu ya White House.

Kulikuwa na askari 8,980 mwaka 2019, kwa mujibu wa takwimu za Idara ya Ulinzi zilizochambuliwa na taasisi ya Palm Center.
''Rais Biden anaamini kuwa jinsia haipaswi kuwa kikwazo kwenye utumishi jeshini, na kuwa nguvu ya Marekani iko kwenye utofauti wa wake,'' Taarifa ya Ikulu iliongeza.

Waziri mpya wa Ulinzi Lloyd Austin, generali wa jeshi mstaafu, alisema kwenye taarifa: ''Idara itatumia sera hii kuhakikisha kuwa watu wanaojipambanua kuwa wamebadili jinsia wanapata uhalali wa kuingia na kutumikia jeshi.''

''Vikosi vya kijeshi vya Marekani vina kazi ya kutetea raia wenzetu dhidi ya maadui, wa nje na ndani. Natumaini tutafanikisha hili vyema ikiwa tutawawakilisha raia wenzetu wote,'' aliongeza.

Bwana Trump alitangaza kupitia ukurasa wa twitter mwaka 2017 kuwa nchi hiyo ''haitakubali au kuruhusu'' kundi hilo la watu kuhudumu kwenye jeshi, akieleza ''gharama kubwa za matibabu na usumbufu''.

Mafufuku hiyo ilianza kufanya kazi mwezi Aprili mwaka 2019. Kundi la watu waliobadili jinsia ambao tayari walikuwa wakilitumikia jeshi waliruhusiwa kuendelea lakini wale waliokuwa wakitaka kujiunga walizuiwa.

Chanzo:BBC
 
Back
Top Bottom