Marekani: Waliobadili jinsia waondolewa marufuku ya kujiunga na Jeshi iliyowekwa na Donald Trump

Huu ni ujinga sasa hata kama watu wanamchukia D.Trump ila sio kwa upuuzi huu wa Hawa akina Biden

Nilidhani usenge ni kwa maccm pekee kumbe Hadi.huko
 
Sijawahi sikia mwanamke kubadili jinsia yake ila wote wanatoka kuwa wanaume kwenda kuwa wanawake,kwa kweli aliyezaliwa mwanaume na kuvumilia muheshimu Sana.

Watu wa dizaini hii nasikia ni wengi Sana huko Thailand
 
Hapo Penye kuwaua hapana aisee! Itafutwe adhabu nyingine hata kuwafunga jera na kuwawekea vikwazo mbalimbali lakini siyo kuwaua !
Msipende sana mambo ya kukimbilia kuua watu.

Mungu aliyewaumba kwa nini asiwaue yeye na uwezo anao?

Tujifunze kuhurumiana na kusameheana!
Wawe wanafanyishwa kazi tuu za uzalishaji
 
Back
Top Bottom