Kwa nchi kama Marekani ni lazima iwe makini kwa sababu fursa kama hii ni adhimu kwa magaidi kutumia kupenyeza watu wao ambao baadaye hufanya ugaidi.Walitakiwa kuongeza ulinzi sio kuzuia watu wasiingie nchini mwao. Ni matumaini yangu uko mbeleni mwenyeji mwingine akipiga hizi marufuku za timu, marefa na mashabiki kuingia kwenye nchi yake nae pia ataeleweka