oyayakaranga
JF-Expert Member
- Dec 29, 2015
- 677
- 397
USA beibi waendelee na promo sasa
Wabongo tuna asili ya unafiki sana, kujifanya tunaguswa sana na mambo yanayoendelea kwingine kuzidi tunayofanya hapa,
Huku mitaani kutwa tunawapiga moto wenzetu kwa kuiba tecno,
Tunawakata mikono, miguu wenzetu Albino kisa utajiri na yote haya tunaona sawa tu,
Ngoja tusikie wazungu wameuwa black, sijui mfanyakazi wa ndani kanyanyaswa na mwarabu tunatokwa povu la kinafiki Utadhani kweli tuna hiyo imani,
Kama tunajali sana watu tuanzie hapa kwetu
Sidhani kama kulinganisha jambo hili na hali ya usalama kenya, syria ama somalia itakuwa sahihi
Kwakuwa marekani is far more safe "kwasasa" ikilinganishwa na hao uliowataja
Pili, sikusema kwa lengo la kulinganisha ama kuona "pameoza" kiusalama
Lengo nikuonyesha mtiririko wa matukio haya unaweza ifikisha pabaya kama hatua stahiki hazitachukuliwa mapema.
PerhapsNah..sidhani kabisa kama haya matukio machache yataifikisha pabaya Marekani.
America is still a great great country.
Ndo manaake, US baby!Hao polisi waliouwawa na waliojeruhiwa wote ni Wazungu?
Njoo nikununue!Black life's matter is overrated. These guys are just arrogant and will do anything to portray police in bad way. American blacks are aggressive when it comes to violence and will do anything to shout how segregated they are in terms economic and social justices.
Its this reason i commend our great grandfathers for kidnapping some (of the unproductive in society) and selling them off as slaves to states!!
Ndo manaake, US baby!
Hala hala nawe usijetunguliwa huko!
nyani ngabu[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]akiwepo nyani ng'abu USA baby
nyani ngabu .....et usa baby [emoji15] [emoji24] [emoji22] [emoji22] [emoji24] [emoji24] [emoji24] [emoji24] [emoji24] [emoji24] tz raha mie najiita tz babyMlivyo wajinga mnachekelea tu bila kujua hata hao polisi wana rangi gani ya ngozi!
Mlivyo wajinga mnadhani Marekani hakuna polisi weusi? Hakuna polisi Walatino?
Ikitokea waliouliwa ni polisi weusi je? Bado mtafurahia?
nyani ngabu[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Wanaamini huko ndo maisha yalipoWarudi kwao, kwani ni lazima wakafia ugenini?
picha inasikitisha mod muiondoe
Daah well said mkuu...utumwa wa kifikra unatusahaulisha ya kwetu.Wabongo tuna asili ya unafiki sana, kujifanya tunaguswa sana na mambo yanayoendelea kwingine kuzidi tunayofanya hapa,
Huku mitaani kutwa tunawapiga moto wenzetu kwa kuiba tecno,
Tunawakata mikono, miguu wenzetu Albino kisa utajiri na yote haya tunaona sawa tu,
Ngoja tusikie wazungu wameuwa black, sijui mfanyakazi wa ndani kanyanyaswa na mwarabu tunatokwa povu la kinafiki Utadhani kweli tuna hiyo imani,
Kama tunajali sana watu tuanzie hapa kwetu