MAREKANI: Polisi watano wauawa huko Dallas

MAREKANI: Polisi watano wauawa huko Dallas

Marekani siyo sehemu salama tena kwa kuishi raia wa Tanzania, Tanzania itoe tamko mara moja raia wote wa Tanzania waishio Marekani warudishwe nyumbani ndani ya masaa 24! (joke)
 
Dhulma mbaya,kila siku wakilalamika wanasingziwa haya,yale,wameamua liwalo na liwe,sidhani kama itaishia hapo,sidhan kama polisi wataua tena mweusi..ooh weusi wanapenda sana kulalamika
 
Watu weusi kwa hata kwetu watu weupe siwapo. Inatubidi wakiuwa na sisi hivyo hivyo ili tupunguze makali ya haya matokeo.
 
Kwa sisi tuliopotelewa na ndugu yetu akiwa mikononi mwao tunamsifu huyu adui yao aliyejitokeza kipindi sisi tunaomboleza.

Maana itawapunguzi kejeli zao kwenye msiba wetu.

Sii vibaya akitokea adui yao mwingine akawatunishia msuli na kuwalenga wawili watatu kwa kuwa ndicho kitu wanakipenda kukiwaza na kukitekeleza.

OKWOKWO ANAIPENDA HII.

SISI WAAFRIKA TUNAONEWA "Patrick balisidya"
 
idadi ya watu weusi wanaouwawa na polisi hapa bongo ni kubwa kuliko hata Marekani
 
Mungu aisimamie Marekani. Kinachoenda kutokea kama hakitaangaliwa vizuri ni balaa
 
Mungu aisimamie Marekani. Kinachoenda kutokea kama hakitaangaliwa vizuri ni balaa

Mambo wala siyo mabaya kama mnavyotaka kuamini. Marekani siyo Syria au Somalia.

Licha ya matukio machache ya hapa na pale nadiriki kusema kabisa kuwa Marekani ni salama kuzidi hata Kenya.
 
Wabongo tuna asili ya unafiki sana, kujifanya tunaguswa sana na mambo yanayoendelea kwingine kuzidi tunayofanya hapa,

Huku mitaani kutwa tunawapiga moto wenzetu kwa kuiba tecno,

Tunawakata mikono, miguu wenzetu Albino kisa utajiri na yote haya tunaona sawa tu,

Ngoja tusikie wazungu wameuwa black, sijui mfanyakazi wa ndani kanyanyaswa na mwarabu tunatokwa povu la kinafiki Utadhani kweli tuna hiyo imani,

Kama tunajali sana watu tuanzie hapa kwetu
 
Mambo wala siyo mabaya kama mnavyotaka kuamini. Marekani siyo Syria au Somalia.

Licha ya matukio machache ya hapa na pale nadiriki kusema kabisa kuwa Marekani ni salama kuzidi hata Kenya.
Sidhani kama kulinganisha jambo hili na hali ya usalama kenya, syria ama somalia itakuwa sahihi

Kwakuwa marekani is far more safe "kwasasa" ikilinganishwa na hao uliowataja

Pili, sikusema kwa lengo la kulinganisha ama kuona "pameoza" kiusalama

Lengo nikuonyesha mtiririko wa matukio haya unaweza ifikisha pabaya kama hatua stahiki hazitachukuliwa mapema.
 
Back
Top Bottom