Analogia Malenga
Platinum Member
- Feb 24, 2012
- 5,292
- 10,842
Clowns don't think, ask or do their journalism properly. They just peddle lies and push their narratives. Propaganda machine.Huyo aliekuwa anaenda kuchomwa yeye kasemaje? Maana huyo ndio shahidi no 1. Wasije wakatumia kigezo cha rangi kutetea uhalifu
Hapo hata mimi ningekugonga chuma tu
Wale mashoga kina Don Lemmon ni wasenge sana yaani.Ile News outlet ni takataka kabisa,hawataki kutafuta facts na common sense ila kuchochea Opinion news na kulisha watu -ve propagandas.Clowns don't think, ask or do their journalism properly. They just peddle lies and push their narratives. Propaganda machine.
Kinachonishangaza ni kuwa watu bado wanadhani CNN ni chombo cha habari. Cha kuchekesha zaidi ni pale wanapodhani hawa wachekeshaji wanaaminika!
Ila risasi nne siyo nyingi kweli kwa mtu mwenye kisu?
Bomu ndo ingependeza. Mavisu ya nn kumchoma binadamu mwenzio.Ila risasi nne siyo nyingi kweli kwa mtu mwenye kisu?
Alichofanya askari na alichokuwa anataka kufanya Dada mwenye kisu hakuna tofauti...huwezi kuokoa maisha ya mtu mmoja kwa kuua mtu mmoja.Mbona taarifa vague hivyo. Achana na propaganda za CNN. Alikuwa anakwenda kumdunga kisu mdsda mwenzie ndio askari akamchapa risasi ili kuokoa maisha ya mdada mwenzake.
Mbona hatuambiwi rangi wala jinsia ya yule dada ambaye pona yake ilikuwa uwepo wa huyo askari?
Clown News Network!
Hapa ndipo kosa lilipo tokea ilabid ampige risasi angalau asizidishe tatu. Lakin risasi nne itaonekana kama vile na ww asikari ulikuwa umezamilia kuuaIla risasi nne siyo nyingi kweli kwa mtu mwenye kisu?
Acha kumtukana marehemu wewe😂😂😂😂miaka 16 limwili lote hilo?
akili hakuna hapo...
Halafu sasa ukute ugomvi ulikuwa kugombania mwanaume!miaka 16 limwili lote hilo?
akili hakuna hapo...