Marekani kuwasilisha mpango wa Vipengele 15 Kumaliza vita, Iran yadai hakutakuwa na Makubaliano kamwe

Richer

JF-Expert Member
Joined
Jun 9, 2025
Posts
1,446
Reaction score
2,093
Jeshi la Iran limekanusha taarifa za kuwepo kwa mazungumzo ya amani kati ya Marekani na Iran, na kuibua mashaka kuhusu mpango wa amani wenye vipengele 15 unaodaiwa kuwasilishwa na Ikulu ya Marekani.

Ebrahim Zolfaghari, msemaji mkuu wa jeshi la Iran Makao Makuu Khatam Al-Anbiya, ametoa hotuba akiikejeli Marekani kwa kile alichodai ni juhudi za kujiondoa kwenye vita iliyoianzisha pamoja na Israel, akidai Iran haitoingia makubaliano kamwe.

“Msiiite kushindwa kwenu kuwa ni makubaliano,” alisema.

“Je, migogoro yenu ya ndani imefikia hatua ya kwamba mnajadiliana wenyewe kwa wenyewe?”

“Neno letu la kwanza na la mwisho limekuwa lilelile tangu mwanzo, na litaendelea kuwa hivyo: Watu kama sisi hatuwezi kamwe kukubaliana na watu kama nyinyi,” aliongeza Zolfaghari.

“Sio sasa, wala si wakati wowote.”- Amesema Ebrahim Zolfaghari, msemaji mkuu wa jeshi la Iran Makao Makuu Khatam Al-Anbiya

Soma pia Iran yasema hakuna mazungumzo kati yake na Marekani, yadai ni njama za Trump

============
The Iranian military has dismissed reports of US-Iran peace negotiations, casting doubts over the 15-point peace plan reportedly put forward by the White House.

Ebrahim Zolfaghari, a spokesperson for the Iranian military’s Khatam Al-Anbiya Central Headquarters that commands both the regular military and the Revolutionary Guards (IRGC), gave a pre-recorded televised address where he mocked the US' efforts to pull out of the war it started alongside Israel.

"Don't call your failure an agreement," he said.

"Have your internal conflicts reached the point where you are negotiating with yourselves?"

"Our first and last word has been the same from day one, and it will stay that way: Someone like us will never come to terms with someone like you," Zolfaghari added.

"Not now, not ever."

Source: DW
 
Haya masharti Kwa Iran ni ngumu kuyakubali...hapa naona vita itaendelea Tu

Hii haiwezezekani.
The U.S. 14 point framework presented to Iran:

• Full dismantlement of accumulated nuclear capabilities

• Binding commitment never to pursue nuclear weapons

• Zero enrichment permitted on Iranian soil

• All enriched material transferred to the IAEA on an accelerated timeline

• Natanz, Isfahan, and Fordow to be decommissioned and destroyed

• Full transparency with the IAEA across all nuclear activities

• End of the proxy warfare doctrine

• Immediate halt to funding and arming regional proxies

• Strait of Hormuz guaranteed open as a free maritime corridor

• Missile program to face future limits on range and quantity

• Short range missiles restricted strictly to defensive use

• Full sanctions relief for Iran

• Support for a civilian nuclear project in Bushehr for electricity generation

• Removal of the snapback sanctions mechanism

----
 
Kwa kiburi Cha Iran anaweza kukataa aendelee kubondwa
 
Jeshi la Iran limekanusha taarifa za kuwepo kwa mazungumzo ya amani kati ya Marekani na Iran, na kuibua mashaka kuhusu mpango wa amani wenye vipengele 15 unaodaiwa kuwasilishwa na Ikulu ya Marekani.

Ebrahim Zolfaghari, msemaji mkuu wa jeshi la Iran Makao Makuu Khatam Al-Anbiya, ametoa hotuba akiikejeli Marekani kwa kile alichodai ni juhudi za kujiondoa kwenye vita iliyoianzisha pamoja na Israel, akidai Iran haitoingia makubaliano kamwe.

“Msiiite kushindwa kwenu kuwa ni makubaliano,” alisema.

“Je, migogoro yenu ya ndani imefikia hatua ya kwamba mnajadiliana wenyewe kwa wenyewe?”

“Neno letu la kwanza na la mwisho limekuwa lilelile tangu mwanzo, na litaendelea kuwa hivyo: Watu kama sisi hatuwezi kamwe kukubaliana na watu kama nyinyi,” aliongeza Zolfaghari.

“Sio sasa, wala si wakati wowote.”- Amesema Ebrahim Zolfaghari, msemaji mkuu wa jeshi la Iran Makao Makuu Khatam Al-Anbiya

Soma pia Iran yasema hakuna mazungumzo kati yake na Marekani, yadai ni njama za Trump

============
The Iranian military has dismissed reports of US-Iran peace negotiations, casting doubts over the 15-point peace plan reportedly put forward by the White House.

Ebrahim Zolfaghari, a spokesperson for the Iranian military’s Khatam Al-Anbiya Central Headquarters that commands both the regular military and the Revolutionary Guards (IRGC), gave a pre-recorded televised address where he mocked the US' efforts to pull out of the war it started alongside Israel.

"Don't call your failure an agreement," he said.

"Have your internal conflicts reached the point where you are negotiating with yourselves?"

"Our first and last word has been the same from day one, and it will stay that way: Someone like us will never come to terms with someone like you," Zolfaghari added.

"Not now, not ever."

Source: DW
Hakuna mpango wowote ni moto tuu, US wanajitekenya wenyewe
 
Marekani wanapiga jaramba tayari kuivamia Iran kinachofanyika sasa hivi ni kuwaondoa Iran kwenye focus.

Vikosi vya Marine Expeditionary Unit tayari wako njiani kutoka Japan kuelekea ghuba na vilevile kwa 82nd Airborne Division ambao hushuka kwa maparachuti kutoka kwenye ndege.
 
Nadhani Iran Haina tena kiongozi mkuu, bali inaongozwa na jeshi.
Ukiyatafakari sana maneno ya Tramp utagundua Kuna mgawanyiko mkubwa kati ya jeshi na uongozi wa kiraia. Huenda ni kweli Trump Kuna viongozi ambao hawapo jeshini anafanya nao mazungumzo. Au Iran inaongozwa na state organs.
 
Kiongozi mkuu wa Iran ni Mujtaba na Rais wao yupo pia, Spika wa bunge yupo, hao viongozi wanaozungumza nao nyuma ya pazia it is good for nothing as long vita inaendelea na malengo yanaendelea kutimi kwa Iran
 
Kwa kiburi Cha Iran anaweza kukataa aendelee kubondwa
USA anatafuta pakukimbilia nyie bado mnashupaza shingo eti anaibonda Iran?
Kuna watu hadi wakuelewe inabdi mwalimu utumie mbinu za ziada hata viboko ikibidi.

Kilichopo USA na Israel wameshindwa kufikia malengo na kikubwa na tembea na hasara ya billions of dollars, Donald Trump alitafuta wakumuangushia jumba bovu nchi zote zimekimbia njia pekee ni kucease fire,

Wengi tunahisi vita ni kurusha rusha makombora tu hapana vita ni
1. Lengo la vita
2. Gharama ya vita
Vyote hivyo Marekani na Israel wamechemka.

Alitamani kupiga vituo vya mafuta vya Iran lakini majibu na onyo la Iran vimemtisha USA kwakuwa wanafahamu fika wanachongea hawajawahi kutania.
🙏
 
Marekani wanapiga jaramba tayari kuivamia Iran kinachofanyika sasa hivi ni kuwaondoa Iran kwenye focus.

Vikosi vya Marine Expeditionary Unit tayari wako njiani kutoka Japan kuelekea ghuba na vilevile kwa 82nd Airborne Division ambao hushuka kwa maparachuti kutoka kwenye ndege.
Basi Kama Ndio Hivyo Wewe Wa Mtunguchole Hukoo,Umeweza Ng'amua Hilo,,Basi Nadhani Wairan Walikwisha Ling'amua Hilo Na Ndio Maana Wala Hawajishughulishi Na Maridhiano...
 
Marekani wanapiga jaramba tayari kuivamia Iran kinachofanyika sasa hivi ni kuwaondoa Iran kwenye focus.

Vikosi vya Marine Expeditionary Unit tayari wako njiani kutoka Japan kuelekea ghuba na vilevile kwa 82nd Airborne Division ambao hushuka kwa maparachuti kutoka kwenye ndege.
Hao marine wa marekani watachinjwa kama kuku,saddam aliivamia iran na askari zaidi ya laki wote jamaa waliwakamata,iran jeshi la ardhini ana watu kama milioni 4 hivi ambao wako timamu hasa
 
Marekani wanapiga jaramba tayari kuivamia Iran kinachofanyika sasa hivi ni kuwaondoa Iran kwenye focus.

Vikosi vya Marine Expeditionary Unit tayari wako njiani kutoka Japan kuelekea ghuba na vilevile kwa 82nd Airborne Division ambao hushuka kwa maparachuti kutoka kwenye ndege.
Jamaa huwa wanachinja sana hao wanaotuaga na Parachuti. Nilisikia kisa cha vita ya US na Iraq kuna makomando walikamatwa wa jeshi la US na kuchinjwa kama kuku.
 
USA anatafuta pakukimbilia nyie bado mnashupaza shingo eti anaibonda Iran?
Kuna watu hadi wakuelewe inabdi mwalimu utumie mbinu za ziada hata viboko ikibidi.

Kilichopo USA na Israel wameshindwa kufikia malengo na kikubwa na tembea na hasara ya billions of dollars, Donald Trump alitafuta wakumuangushia jumba bovu nchi zote zimekimbia njia pekee ni kucease fire,

Wengi tunahisi vita ni kurusha rusha makombora tu hapana vita ni
1. Lengo la vita
2. Gharama ya vita
Vyote hivyo Marekani na Israel wamechemka.

Alitamani kupiga vituo vya mafuta vya Iran lakini majibu na onyo la Iran vimemtisha USA kwakuwa wanafahamu fika wanachongea hawajawahi kutania.
🙏
Iran wajeuri sana
 
Anaanzisha vita kwa ushawishi wa ‘Jared Kushner’ na ‘Steve Witkoff’ watu ambao hawana uelewa wa western interests in the M.E region.

Baada ya hapo unatuma watu hao hao wasiokuwa na background training ya sensitive negotiation, kwenda kujaribu kuongea na Iran.

Trump ame-expose major weaknesses in US national security risk management, nchi ikipata raisi wa hovyo they can’t control him.

Hakuna kitu Iran inafanya leo ambacho wazungu hawakutegemea kwenye hivyo vita, only that risk ya kumvamia Iran unnecessarily outweighed economic and western interests.

Sasa hivi anatishia kupeleka askari ardhini, kwenye nchi ambayo ni mountainous terrain karibu yote making fighting difficult, na kutupia lawama wengine Hegeth ndio alietaka vita.

Somo hapa kwenye ushirika wa NATO intelligence strength hiko EU, US kwa upande wao wameonyesha wapo weak system yao can easily be overridden na raisi wao.
 
Kiongozi mkuu wa Iran ni Mujtaba na Rais wao yupo pia, Spika wa bunge yupo, hao viongozi wanaozungumza nao nyuma ya pazia it is good for nothing as long vita inaendelea na malengo yanaendelea kutimi kwa Iran
Iran hana malengo kwenye vita hii.
Yeye anafanya defense na retaliations tu.
Kama kiongozi mkuu yupo ni kwa nini siyo yeye anayetoa nini hatua ya kufanya inayofuatia baada ya mashambulizi au mashambulizi tarajiwa, badala yake utasikia rundo la viongozi mbali mbali wakitoa kauli zao.
 
Back
Top Bottom