rodrick alexander
JF-Expert Member
- Feb 12, 2012
- 17,256
- 24,049
tunataka bunge la katiba nalo liweke wazi hii kitu nashangaa kwanini wakina warioba walikwepa wasikae kujadili tu siasa katiba ni zaidi ya siasa ingawa kuna wabunge mashoga na wasagaji
Mbona nchi za uarabuni Kama UAE, Kuwait, Saudi Arabia, Qatar, Oman n.k. na zingine kama Brunei hazijapewa matakwa kama haya... Hawa wanapenda onea sana Afrika.
Baba wa taifa ndio alikuwa kinara wa kupinga mambo kama haya, ya kuchaguliwa sheria za nchi..
Maybe you're the one who's not ok.
So check yourself before you wreck yourself.
Jk nae bado anajifanya kukwepa maswali,nae ajiandae,watambana tu achague ushoga ama la miradi ya umeme ndo ifikie mwisho.
Namaanisha Waafrika tayari ni wajinga wakubwa sana hivyo wala haihitaji mtu awaletee ujinga.
Ujinga tayari wanao.
Mimi sijali kama mtu analiwa tigo yake. Si ni yake bana..
Sasa tigo aliwe mwingine, kuhemka uhemke wewe. Majanga!!
Mimi siyo shoga. Sijawahi kuwa shoga. Sitakuja kuwa shoga.
Na maandishi yako humu hayawezi kunigeuza kuwa shoga.
Na kwa mtaji huo, hata wewe waweza kuwa shoga vile vile.
yani wewe kila uzi unaohusu ushoga wewe unatetea una nini lakini.
Mmmmmh mashaka tele juu yako kaka
Tukubaliane kutokukubaliana inatoooosha
Kwanini usiwe shoga?
USA wanatafuta laana na wataporomoka kiuchumi very soon
Bwa'nchuchu namfahamu ni "shoga"
USA wanatafuta laana na wataporomoka kiuchumi very soon
Dua la kuku alimpati mwewe