Marekani kusitisha misaada kwa Uganda

Marekani kusitisha misaada kwa Uganda

Maybe you're the one who's not ok.

So check yourself before you wreck yourself.

Aisee kumbe hata huku jukwaa la GT mpo? Jina halijifichi mbona liko wazi?" Nchuchu ni mwanamke kwa hiyo bwana Nchuchu ni mwanaume mwanamke. Hiyo ndiyo tafsiri yake ila sijui kama ndicho unachomaanisha. Inawezekana jina limekuwa hivyo kwa bahati mbaya😛hoto::A S 13:
 
just wait man

Kama marekani italaanika basi na nchi za ulaya zitalaanika sababu wanajiandaa kuiwekea Uganda vikwazo. Vip na umasikin wa Africa? Utasema laana?

Binafsi napinga ushoga.ukisoma mambo za sodoma na gomora utajua ni kiasi gani mungu hapend ushoga
 
Aisee kumbe hata huku jukwaa la GT mpo? Jina halijifichi mbona liko wazi?" Nchuchu ni mwanamke kwa hiyo bwana Nchuchu ni mwanaume mwanamke. Hiyo ndiyo tafsiri yake ila sijui kama ndicho unachomaanisha. Inawezekana jina limekuwa hivyo kwa bahati mbaya😛hoto::A S 13:

Jenga hoja. Kama huna uwezo/ akili za kufanya hivyo kaa kimya. Kuwa msomaji tu.
 
No, something is wrong with you and you are projecting it by thinking that something is wrong with me. So check yourself before you start pointing fingers!



Haki za watu kuishi wapendavyo.



Hivi mwanaume mwingine akipumuliwa kisogoni wewe inakuhusu nini? Au na wewe vicariously unajisikia kupumuliwa?

Maana hata sielewi hii hullabaloo yote kuhusu mambo ambayo hayawahusu inaanzaje.

We aint livin in an island ...we are living in a compact community and we are responsible for the well bieng of each other..gayism is immoral and we cant allow immorality in our society.the individualistic ideas of western world are incompatible with african societies.dont let the western ideas n lifestyle make your a stranger in your society.
 
We aint livin in an island ...we are living in a compact community and we are responsible for the well bieng of each other..

Does that responsibility for the well being of each other include every human being?


That's not a word in the English language!

is immoral

Who gave you the authority to author morals?

and we cant allow immorality in our society.

What is immorality?

the individualistic ideas of western world are incompatible with african societies.

Oh really? So why are you using their language then? And how are they incompatible?

dont let the western ideas n lifestyle make your a stranger in your society.

Practice what you preach!
 
aisee kuna virus nimeiona inatetea huu upuuzi.. hii thread ya pili sasa
 
Namaanisha Waafrika tayari ni wajinga wakubwa sana hivyo wala haihitaji mtu awaletee ujinga.

Ujinga tayari wanao.

Mimi sijali kama mtu analiwa tigo yake. Si ni yake bana..

Sasa tigo aliwe mwingine, kuhemka uhemke wewe. Majanga!!

Mmmh!!!!
 
Hapa lazima Waafrika tupigwe miti haswa.
Wanaokwenda kuchukua misaada huko nje ni hawa viongozi wetu lkn wanachofanyia hiyo misaada hakionekani.
Sasa unapokuja kulazimishwa kupakuana ili upewe msaada unafikiria nini??
Hii haina tofauti na kumtupia kuku mahindi akishaingia ndani hana ujanja.
Viongozi wa Afrika wajifunze kujitegemea waachane na misaada.
 
Yaonyesha kuwa mahusiano ya USA yalikuwa na mashoga wa Uganda na sio na wananchi wengine wa Uganda.
 
Back
Top Bottom