Marekani kushindwa vita kulianza kwa meli zake zilizoingia vitani kwa kishindo kupigwa,ikafuatia kudondoshwa kwa ndege ya F 35 na kupigwa Dimona

Webabu

JF-Expert Member
Joined
Apr 29, 2010
Posts
10,488
Reaction score
16,646
Ile meli ya kubeba ndege ya Abraham Lincolin imekuwa haitajwi muda mrefu japo Marekani imekanusha kuzamishwa kwake.

Kwa meli kubwa kuliko zote ya Gerald Ford wamekubali kuwa moto mkubwa ulizuka na ikabidi kuiondosha kwenye uwanja wa vita siku chache kiwanda cha kusafishia mafuta cha Haifa kikapigwa na Iran.

Tukio lililoleta mshtuko zaidi kwa Marekani na Israel ni kudondoshwa kwa bomu la tani 2 karibu kabisa na kinu cha nyuklia cha Israel cha Dimona.Tukio hili limeifanya serikali ya Netanyahu kutoa ukelele wa mambo kuwa ni magumu.

Baada ya hapo huku mambo yakiendelea kuwa magumu nyumbani na mataifa yote duniani kwa kukosa nishati na mbolea huku Iran ikitishia kuzikatia maji nchi za ghuba,Trump aliona hakuna lingine isipokuwa ni kukimbia vita kwa visingizio vilivyoliaibisha taifa hilo.
 
Kaumbuka dah,sasa bado waarabu watamwamini kama mlinzi wao kweli?
 
Marekani ilikuwa imeshashindwa vita kabla hata ya kuanza kupigana. Sema Trump hakulijua hilo mapema.
 
Back
Top Bottom